Naomba ushauri: Baada ya kukosa mtoto nilipendekeza mume wangu azae na dada yangu ila sasa mambo yamebadilika

fired

Senior Member
Apr 4, 2021
151
310
Hey guys naomba advice

Nimekuwa kwa ndoa since 2019; I'm 27 na sijawahi pata mtoto, mume ana miaka 33.Nimekuwa na stress sana kwa sababu Daktari alisema siwezi zaa.

Last year mwezi wa tatu I talked to my sister kuhusu shida yangu na nikamwambia azalie mzee wangu mtoto atlist aitwe baba. Dada alikubali nikaongea na mzee pia akakubali, so walimeet, wakasex sasa hivi my sister ana mimba na alipangiwa nyumba na kupewa kila kitu anataka na akiwa na shida yoyote naweza kumwambia mume wangu aende akae naye. Sometimes akiwa off anakaa huko kwa week 1 then anarudi.

Hatujawahi kuwa na shida yoyote mpaka sasa, amekuja kwangu kama saa moja usiku, nikamuuliza shida ni nini akanionesha anajisikia kukaa karibu na baba mtoto. I was surprised, nikamuuliza kama amempigia mzee na akamwambia akuje aishi, Mzee alirudi kama saa nne nikamuuliza akasema ni hivyo ataishi nasi!

Guys help me, am confused, nitaishi vipi na dada yangu, kwanza wazazi wangu hata hawajui kuhusu hii story, nafeel like nipack vitu vyangu niwaachie nyumba.

Kutokea Sunday dada amekuwa mtu mwingine mwenye dharau na hakuna kitu anafanya😢. Halafu kuna kitu nilimdanganya hubby, yeye anajua mimi nilisoma lakini ukweli ni kuwa sikumaliza shule sababau ya school fees. Nilimdanganya sababu nilikuwa tayari nimempenda, lakini dada amenionesha kuwa atamwambia ukweli

Nisaidie please, nafikiria nirudi home niwaache, niko desperate.
 
Lost Battle,
2 things involved, one if you can tolerate all the shits and succeed to conceive, you are rescued.
If not, you are fired
 
Mie sioni tatizo hapa,wewe unadhani Mwanamke gani unaweza kuvumilia kukaa na Mwanamke asiye zaa.
By the way naifahamu ndioa ambapo jamaa ameoa MTU na mdogo wake na wanaishi nyumba 1 na maisha yanakwenda.

Hata asinge zaa na mdogo wake bado,angeenda kuzaa na mwingine.unachofanya wewe unataka kumnyima mwenzio Uhuru.

Kama huwezi muona jamaa akimjali mdogo wake na mtoto sana kuliko wewe,Mara 100 ujiengue tu utafute bwana use hata mke wa pill.
 
Back
Top Bottom