Napenda mwanamke anaenyoa hivi...

'kwa mbele mbele yaweza kuwa ni fashion flani ivi ila kwa bongo bongo huwa wanakwepa gharama za saloon tu labda wachache tu asee ndo wana keep real,i love the style too'
 
Mhhhh!!! mgomvi kumbe eeh? makonzi tena!!!! lol!!!

Hahahahaha sawa kila mtu apendavyo.......ila kipara kizuri kwa kupiga makonzi icho akikukera lol
 
Ila kiukweli anavutia ngoja na mimi nitamshauri wife anyoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…