ndo maana hilo la kuwa na maskani yko nikasema ni added advantage...mara nyingi unapokwenda kuposa wazazi wa upande wa m.ke huwa wanataka kujua juu ya wapi utaenda kuishi na mtoto wao,na huwa wanafurahi zaidi ikiwa wewe muoaji una nyumba yako hata km ni banda tu...au kama utakaa nae kwenu bs at least panatizamika!japo walio wengi siku hizi wanaoa na kuishi kwa wazazi wao,kutokn na ugumu wa maisha,maana kujenga si mchezo...so sharti hili kdg limeregezwa,wanaangalia zaidi njia zako za kujipatia kipato.
Masharti ya kuoa zenji huwa ni magumu mno hasa unapoenda kuoa ktk familia inayojiweza kiuchumi au ktk family zenye maji maji ya kisultan,hiyo mahari yake tu unaweza kuhairisha kuoa aloo.
Kuhusu misosi tu hasa katka kuisanifu ngano,zenji tupo juu si haba!so usijali
Madame S ntakualika siku ya harusi yangu uje upige chai moja matata sanaaa plus biriani ya bata.