simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,786
- 9,716
Chura kanikonga moyo lazima kuoa Tanganyika. Wanadada wa Tanganyika oyee. Mikono juu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ...mweeeh kumbeUzuri wake nasikia kule unaweza kuta binti ana miaka 24 bikra ila 4G LTE inasoma full. Sasa ujiulize hiyo 4G alikuwa anatumia nani?
Uchunguzi unaanzia hapa,,,90% sikubaliani na wewe. Mimi namshauri kama anataka mke mwema basi atafute huko huko alipo maana zanzibar ya miaka iliyopita ni tofauti na ya sasa nawasilisha.
Nimekumiss miss sanaa weye.Kuna nini?
mkuu si kweli kuhusu hili...we umejionea?au ndo unalishwa matango pori tu na wanakijiwe wenzako?Uzuri wake nasikia kule unaweza kuta binti ana miaka 24 bikra ila 4G LTE inasoma full. Sasa ujiulize hiyo 4G alikuwa anatumia nani?
1-uwe muislam
2-uwe na tabia njema
3-uwe unajiweza kwa kipato
4-uwe na kwako(usipange)..hii ni added advantage
5-uwe na nasabu ya kueleweka na isiyokuwa na historia ya mabalaa kama vile tabia ya ujambazi,wizi,ushirikina na maradhi ya kurithi.
6-kutegemeana na familia husika na asili yao,kama ni familia yenye asili ya kiarabu au uhindini basi nawe ukiwa na asili ya hizo race basi pia itakuwa ni added advantage.hapa ukiwa mweusi tii basi inabidi uwe na pesa ya kutosha....
PROCESS:
1-ukishampata uliyemridhia,utampeleka mshenga kwao ili akapose.
2-ukikubalika,utatajiwa mahari yao,siku hizi huwa wanapenda sana fenicha za ndani kama vile kitanda na godoro lake(ukubwa kulingana na matashi yao),kabati kubwa la milango mitatu la nguo,kabati la vyombo,dressing table....na kapesa ka wazazi kama laki tatu mpk tano. approximately mahari jipange kuanzia million mbili mpk 2.5m
3-mkiwa tayari itapangwa siku ya kupeleka mahari ukweni.baada ya hapo w.ume mtapanga siku ya kwenda kuoa kwa mbaali mkishirikisha upande wa kikeni,japo nyie ndo mtakuwa na power ya kuamua zaidi.
4-Ndoa....utakabidhiwa rasmi zigo lako.
5-Talaka ikiwa mtashindwana ktk iyo ndoa yenu kwa sababu moja au nyengine na hii ni baada ya kufata taratibu zote za talaka kwa mujibu wa dini ya kiislam.
Wengine wataongezea!
Dharau na ubaguzi zipo ktk aina zote za binadamu hata baadhi ya wakristo wapo wanaodharau waislamu na dini nyengine pia. Ndio maana tukaitwa binaadamu. Wazanzibari kuoa au kuolewa na muislamu ni kufuata maadili ya dini yao.Kama wewe si muislam usipoteze muda wako kumpata mke wa kizanzibar. Wanawadharau sana Christians
Am a **Pure MusLim**Dharau na ubaguzi zipo ktk aina zote za binadamu hata baadhi ya wakristo wapo wanaodharau waislamu na dini nyengine pia. Ndio maana tukaitwa binaadamu. Wazanzibari kuoa au kuolewa na muislamu ni kufuata maadili ya dini yao.
4G LTE.. Ndo nn..!!Uzuri wake nasikia kule unaweza kuta binti ana miaka 24 bikra ila 4G LTE inasoma full. Sasa ujiulize hiyo 4G alikuwa anatumia nani?
Majina ya wanaotaka kuolewa wanapeleka wapi....!!Wasichana wa kizanzibar wanapenda sana wanaume wa bara, wqnatuona ni wajanja sana na hatuwabani kwenye mapenzi, ni tofauti kbs na mapenzi ya mwanaume wa kizanzibar, halafu kuoa kule ni rahisi kuliko huku, mf, shuhuli za jitimai ni shuhuli kubwa sana kule, wanawake waliotayari kuolewa bure hupeleka majina yao na akitokea muoaji hupewa mke, ukikutwa na kibinti hamjielewi ndoa ya mkeka ni sekunde tu, mi ninao madem 2 unguja, mtu na mdogoake, ila kwa mapenzi wapemba wako vzr zaidi"