napenda mi jimama

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
guyz sijawahi kutoka na mmama aliyenizidi umri ila nikiwaona nawatamani sana.mi nina miaka 27.nimeajiriwa.ninaelimu ya kutosha.degree 1.siwapendei pesa.mnanishaurije?
 
Palipo na nia pana njia, kama ugonjwa wako ni kutoka na jimama kwa nini ushindwe kulipata bana. Kila kitu kinawezekana chini ya jua!.
 
guyz sijawahi kutoka na mmama aliyenizidi umri ila nikiwaona nawatamani sana.mi nina miaka 27.nimeajiriwa.ninaelimu ya kutosha.degree 1.siwapendei pesa.mnanishaurije?

hiyo id ni yako au umeshinikizwa kuandika hivyo khaaa...
al shabab gani anafikiria mi mama we utakuwa al shabib kabisaaa..
 
Fasta anza na chairperson wa mjengoni, hana gozigozi , unachukua kiulaiiynii kama kupaka slesi siagi .
Mama "Matoto ya ndege"
 
kwa hiyo unataka wake za watu? Hayo majimama yasiyo na ndoa yanayokusubiri wewe utayatoa wapi? Ukiona lijimama limependeza ujue limke wa mtu. Nyie ndo mnataka kutuibia wake zetu.
 
guyz sijawahi kutoka na mmama aliyenizidi umri ila nikiwaona nawatamani sana.mi nina miaka 27.nimeajiriwa.ninaelimu ya kutosha.degree 1.siwapendei pesa.mnanishaurije?
Sina hakika uko wapi! Km uko dar jaribu kutembelea kwenye taarabu baba!huko kuna manungayembe! Au magubegube ya kutosha.utachagua mwenye. Dogo lakini degree moja usiite elimu ya kutosha!utabweteka.
 
tembelea viwanja vya taarab, utawakimbia mwenyewe. vilevile kuna bar moja hivi maarufu, iko maeneo ya mikocheni (nimeisahau jina), ukifika pale ndoto zako zitatimia kijana!
 
asante mkuu,wewe unafaa hata kuwa kiongozi wa "inji" hii
 
Unatangaza una pesa au vjisent! Dogo acha kubeep watu! Lakispesa bana!
 
guyz sijawahi kutoka na mmama aliyenizidi umri ila nikiwaona nawatamani sana.mi nina miaka 27.nimeajiriwa.ninaelimu ya kutosha.degree 1.siwapendei pesa.mnanishaurije?

Achana nao, umeitwa ukajaliwa yote hayo ili uwe huru ila sio uhuru wakuufuata mwili, huyo ni shetani mkatae rohoni mwako kwa kazi zake zote ma mamlaka yake yote utashinda.
 
Al Shabab, Bro! Mi mwenyewe 28 yrs, 1st degree, mshahara M na unusu, gari zuri, ila bro naona bado, tupige shule, hiyo mikitu itakuja yenyewe, ths tym nafikiria to get wife.
 
ujaulizwa yote hayo,ungetaka nawew ungefungua thread ako ujitangaze ka unavyotutangazia
 
Back
Top Bottom