napenda mi jimama

MI mwenyewee mselaaaa tu 29,with street degree[ya mtaa]kipato buku 10 au 5 sio habaaa,sinaa motokaaa walaa boda,na wife na manyokaa 3 life is good as long as am happy with my family.
Al Shabab, Bro! Mi mwenyewe 28 yrs, 1st degree, mshahara M na unusu, gari zuri, ila bro naona bado, tupige shule, hiyo mikitu itakuja yenyewe, ths tym nafikiria to get wife.
 
Sina hakika uko wapi! Km uko dar jaribu kutembelea kwenye taarabu baba!huko kuna manungayembe! Au magubegube ya kutosha.utachagua mwenye. Dogo lakini degree moja usiite elimu ya kutosha!utabweteka.

hehehe kuko utakutana hadi na wanaume ka mabinti
 
MI mwenyewee mselaaaa tu 29,with street degree[ya mtaa]kipato buku 10 au 5 sio habaaa,sinaa motokaaa walaa boda,na wife na manyokaa 3 life is good as long as am happy with my family.

hahaha nimependa hii b'real! Your lifestyle rocks!
 
Nakuonea huruma sana kwa yatakayo kupata mzee.kwa ushauri wangu yatakayo kupata nakuomba urudi hapa ujd utueleze tafadhali.
 
Barnabie, potezea siyo ishu, nichukulie poa bro, that was not my intention, kusudio ni kwamba mijimama siyo ishu. mh! Ila wabongo tuna hasira, mchizi umeacha mada ukanirukia fasta, teh! Teh!
 
hii thread ni ya april,tupo august,mleta mada tupe taarifa ya mchakato.
 
Utafiti unaonyesha vijana wanaojirusha na mijimama, wakija kuoa wa size zao wakipata watoto wanazaliwa wakiwa na meno.
 
ha ha ha ha

umepinda wewe.

Hebu tupe concise juts a brief image ya ramani ya muonekano wa huo mpindo ! Ni kama new moon unavyokua umeandama? Au kama Mosquito coil ?
Hata mimi sina shaka kwa huyu Babu , kwa matukio ya ukaguzi tangu Jf being lauched lazima awe kapinda!
Wala sio siri !
 
Back
Top Bottom