Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
351
Salaam, Ninaishi Dasalam. Umri wangu ni miaka 26, kitaaluma mimi ni mhandisi wa mitambo (mechanical engineer) ila sijawahi fanya kazi kama engineer, nimesajiliwa na bodi ya wahandisi na nimepewa kibali cha kufanya SEAP, lakini mpaka sasa shughuli zinazonifanya nisurvive ni kufundisha (teaching) japo kwa sasa sina kituo. Nimekuja kwenu kuomba kushikwa mkono kwenye moja kati ya haya au yote: (1) Connection kwenye kupata sehemu yoyote ya kufundisha; Nina uwezo wa kufundisha masomo matatu kwa ufasaha Physics, Chemistry na Mathematics kwa level zote, uzoefu upo wa kutosha. (2) connection kwenye kupata Taasisi/kampuni ya kufanya SEAP au kujishikiza ili niweze kuendeleza taaluma yangu ya uhandisi. Natanguliza shukurani zangu!
 
Yah..Sana Mkuu.
Soon utafanikiwa utakuja kuleta mrejesho hapa inshallah.

Mimi nlikuwa na tatizo la mikosi ya kutopata kazi hata nifanye vipi, nitaahidiwa vizuri kazi alafu mambo hayawi..

Sasa hivi nashkuru nina kazi maisha yanasonga.

Ila mkuu utafanikiwa niamini mimi.. usifikirie kwamba udhaifu wako wa kuwa hivyo ndio hutopata kazi milele hapana!!!

Usichoke omba.
 
Ahsante sana mkuu kwa kunitia moyo..Sitokata tamaa.
 
Soon utafanikiwa utakuja kuleta mrejesho hapa inshallah.

Mimi nlikuwa na tatizo la mikosi ya kutopata kazi hata nifanye vipi, nitaahidiwa vizuri kazi alafu mambo hayawi..

Sasa hivi nashkuru nina kazi maisha yanasonga.

Ila mkuu utafanikiwa niamini mimi.. usifikirie kwamba udhaifu wako wa kuwa hivyo ndio hutopata kazi milele hapana!!!

Usichoke omba.
We upo government na je ulitumia njia ya kuamka usiku na kuombea kazi yako?
 
Back
Top Bottom