somo linalopatikana sasa dunian ni kwamba ukiwa upande wa russia unakua salama zaidi kuliko upande wa marekani,kwamana hiyo urusi itarajie kupata washirika wengi kuliko marekani,
Unakuaje salama? Ni mataifa mangapi ni pro Russia yako salama? Wakubwa wote hawa wao ni kulinda maslahi ya mataifa yao.Na pengine nchi kama Syria na Iran zishukuru USA muda huu inaongozwa na Obama ambaye kipaumbele ni kujenga uchumi siyo vita!