Mie ni mtumishi wa serikali (halmashauri ya wilaya) umri wangu umesonga mbele natarajia kustaafu, hivyo basi kabla sijastaafu napenda kutembelea nchini Marekani maarfu USA.
Naombeni mnijuze Kwa kifupi hasa nikifika ubalozi hapo Dar es Salaam maafisa wa ubalozi wataniuliza maswali yapi?
Naombeni mwenye uzoefu anijuze tafadhalini sana