Napenda kuwa Sniper. Wapi naweza pata mafunzo?

Hujui yule mwanadiplomasia na waziri wa masuala ya kigeni si ndiye mtaalam pekee aliyebaki. inavyosemakana lakini.
Stori za vijiweni

Kwahiyo unataka kuniambia jeshini hakuna wataalamu wa sniper ?

Jeshina kuna snipers
Special force .
Nk nk nk


Kila kukicha watu hufunzwa na kuhitimu
 
Asalaam wakuu.

Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiota nafanya mazoezi ya kijeshi,mara nyingine nipo nawinda porini huku nikiwa ndiyo mdungua wanyama.
Katika harakati za uwindaji tulikutana na nyoka mkubwa ambaye nilifanikiwa kukata kichwa kwa risasi.

Mara kadhaa naota nipo katika ofisi za kijasusi nikishauri ama kutekeleza baadhi ya mipango.

Naomba ushauri wenu,kama inanipasa kwenda sehemu kupata mafunzo hata kama ni private kwa faida yangu ama ya nchi pia.
Wataalam wa nyota na kutafsiri ndoto nawakaribisha pia..

Hii hali imepelekea kutamani kufanya hizo kazi.
Mkuu hauko peke yako, kwanza vipi ulifanikiwa?
 
Swali la kipuuzi

Haina haja ya kumjibu huyu mbwigila

Si ukajiunge na jeshi ,kwani kuna sniper mwanasiasa,daktari au mcheza mpira si moja ya division ya jeshi .


Aaah
Sasa mkuu, si bora ungekaa kimya? Inshaallah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom