Napenda kuwa Sniper. Wapi naweza pata mafunzo?

Kwa ndoto hiyo hakika utakua ni shabiki wa lumumba, (wazee wa kuua taratiiiibu)
 
Tengeneza manati uanze tuition wakati unafikiria pa kwenda!
 
Asalaam wakuu.

Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiota nafanya mazoezi ya kijeshi,mara nyingine nipo nawinda porini huku nikiwa ndiyo mdungua wanyama.
Katika harakati za uwindaji tulikutana na nyoka mkubwa ambaye nilifanikiwa kukata kichwa kwa risasi.

Mara kadhaa naota nipo katika ofisi za kijasusi nikishauri ama kutekeleza baadhi ya mipango.

Naomba ushauri wenu,kama inanipasa kwenda sehemu kupata mafunzo hata kama ni private kwa faida yangu ama ya nchi pia.
Wataalam wa nyota na kutafsiri ndoto nawakaribisha pia..

Hii hali imepelekea kutamani kufanya hizo kazi.
Najua video game zina madhara haya
 
Cheza ile game ya Call Of Duty, utakuwa bonge la Sniper[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Duuuuuh,,,,,,,,,mkuu ingekuwa rahisi hivyo ingekuwa poa sana
 
Swali la kipuuzi

Haina haja ya kumjibu huyu mbwigila

Si ukajiunge na jeshi ,kwani kuna sniper mwanasiasa,daktari au mcheza mpira si moja ya division ya jeshi .

Aaah
 
Asalaam wakuu.

Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiota nafanya mazoezi ya kijeshi,mara nyingine nipo nawinda porini huku nikiwa ndiyo mdungua wanyama.
Katika harakati za uwindaji tulikutana na nyoka mkubwa ambaye nilifanikiwa kukata kichwa kwa risasi.

Mara kadhaa naota nipo katika ofisi za kijasusi nikishauri ama kutekeleza baadhi ya mipango.

Naomba ushauri wenu,kama inanipasa kwenda sehemu kupata mafunzo hata kama ni private kwa faida yangu ama ya nchi pia.
Wataalam wa nyota na kutafsiri ndoto nawakaribisha pia..

Hii hali imepelekea kutamani kufanya hizo kazi.
nenda karibu na kituo cha police kilicho karibu na wewe,watakuelekeza
 
Swali la kipuuzi

Haina haja ya kumjibu huyu mbwigila

Si ukajiunge na jeshi ,kwani kuna sniper mwanasiasa,daktari au mcheza mpira si moja ya division ya jeshi .

Aaah
Hujui yule mwanadiplomasia na waziri wa masuala ya kigeni si ndiye mtaalam pekee aliyebaki. inavyosemakana lakini.
 
Una shangaa?

Kwenye uwindaji wa ndege Kwa kutumia manati kati ya ndege kumi unaowalenga unawapata wote?

Kama jibu ni ndiyo basi nenda JKT kwa kujitolea na uoneshe huo ujuzi wako, moja kwa moja hutaachwa.

Ujuzi kwa kutoa?
 
Back
Top Bottom