Napenda kuwa Sniper. Wapi naweza pata mafunzo?

Napenda kuwa Sniper. Wapi naweza pata mafunzo?

Asalaam wakuu.

Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiota nafanya mazoezi ya kijeshi,mara nyingine nipo nawinda porini huku nikiwa ndiyo mdungua wanyama.
Katika harakati za uwindaji tulikutana na nyoka mkubwa ambaye nilifanikiwa kukata kichwa kwa risasi.

Mara kadhaa naota nipo katika ofisi za kijasusi nikishauri ama kutekeleza baadhi ya mipango.

Naomba ushauri wenu,kama inanipasa kwenda sehemu kupata mafunzo hata kama ni private kwa faida yangu ama ya nchi pia.
Wataalam wa nyota na kutafsiri ndoto nawakaribisha pia..

Hii hali imepelekea kutamani kufanya hizo kazi.
Kwakuwa jambo lako linaatokana na mambo ya kiimani hutafanikiwa, kwasababu mtu kuwa Sniper ni taaluma ktk taaluma za kijeshi, na wewe unamambo ya kinajimu yanakuongoza!! Nadhani misheni itakuwa imefeli kabla haijaanza!!

Ushauri; Kwanza acha kufanya mambo kwa kutegemea akidi za kiimani, jaribu kufata ushauri wa kitaalam/kielimu kwa kitu unachofanya!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema unapenda kuuwa watu kihalali, in short you are a psychopath....wewe hatari kwa jamii...
 
Mkuu wala sikuwafunga kamba, yote niliyosema ni ukweli mtupu. Ila wore hamuwezi kunielewa zizuri, nashukuru watu kadhaa walinisaidia na sasa nipo mzigoni [emoji119]
Uskonde.Nimeacha.Siyo kila saa tupo serious. Muda mwingine utani kidogo mkuu.Ila weye kiboko!Ulitufunga kamba unatokea Kigoma na treni!
 
Back
Top Bottom