Napenda kunusa kufuri la mke wangu

Napenda kunusa kufuri la mke wangu

Magufuri akiwa Rais huenda akakuteua kuwa Waziri mkuu wake, Endelea kunusa makufuli.
 
OMG yaani huu ni ugonjwa jamani tusimcheke, si kawaida hiyo lol dunia ina mambo!
 
huu uchizi sasa...
Yaan watu wanamambo ya ajabu
 
Sasa sisi tufanyaje si mapenzi yako na mkeo....we nusa tu ikibidi tembea nayo kama Leso
 
hahahahahahahahaha daaah hatar sanaaaaaa kumbe ulev umegawanyika katka matabaka yakee hahahahahaa ila huu ulev wakooo umepitilizaaa
 
kwahiyo mkuu huwa unanusa kama unavyojifuta jasho na leso au....!!!!!!
ila angalia usianze kuchukua na za watoto wako ukaanza kuzinusa shauri yako....!!!!
 
Lol vipi kufuli yako mwenyewe huibebi ukainusie baa pia? Lol kaazi
 
Nilichogundua ni kwamba huko milembe wanapelekwa wazima ili hali wendawazimu wanaachwa mitaani...
 
Back
Top Bottom