Napenda kumuudhi kwa makusudi

Napenda kumuudhi kwa makusudi

Bro hiyo tabia mimi nilijaribu kuiacha nashkuru kdg imepungua coz huwa siwezi kukaa bila kumuudh mke wangu kasirike huwa sijisikii kabisa hata kwa wadogo zangu wa kike ila washanizoea
Hebu wasimulie raha yake
 
Habari wakuu
Nina tabia ya kumuudhi mama watoto wangu yaani hii Tabia nimeanza tangu muda mrefu naanzia haka kamchezo, ilikuwa lazima nikikutana na girlfriend wangu nimuudhi, yaani nitamchokoza mpaka akasirike, hapo nitafurahi

Mpaka sasa hii tabia ninayo yaani shemeji yenu asipokasirika siriziki hata kidogo, me napenda akasirike tena nimkasirishe Mimi mwenyewe, ili nimbembeleze, mwanamke akikasirika Raha, tena umpate mwanamke wa pwani, akikasirika ataongea weee, hadi raha,

Hii tabia inapelekea mademu wangu wengi wananikumbuka na kudai wamenimiss sana kisa tu nikikutana nao nawaudhi kwa makusudi, je hili ni tatizo
Mh!
 
tatizo kubwa... coz siku ukionja bange utaenda kuwachokoza wajeda... jaribu kuacha utoto mkuu...!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom