Mwingine maudhi hapendi kabisa anafikia hatua ya kuondoka kisa maudhiNa inaelekea hajapata mwanamke anayejua mnuno angempata anayeujua haswa nina imani angeshaacha hiyo tabia.
Mwingine maudhi hapendi kabisa anafikia hatua ya kuondoka kisa maudhiNa inaelekea hajapata mwanamke anayejua mnuno angempata anayeujua haswa nina imani angeshaacha hiyo tabia.
No raha kwanguKama hadi zaidi ya mara ishirini itakuwa siyo raha tena hiyo.
Umeonaee! Kumi kwa mmoja wenye kukubali maudhi ya mara kwa maraMwingine maudhi hapendi kabisa anafikia hatua ya kuondoka kisa maudhi
Raha gani sasa hiyoNo raha kwangu
[emoji12] wengine hatuna wakee bado tupo below age[emoji125] [emoji125]Mimi Mzima kabisa ila raha ya mwanamke akasirike kama unabisha mkasirishe mkeo
Sizonjemadawa
Kila mwanamke ana vionjo vyake... wewe wako anapenda kukasirishwa.. mwingine hapendiMimi Mzima kabisa ila raha ya mwanamke akasirike kama unabisha mkasirishe mkeo
Sizonjemadawa
Awe gubu tena. Au wewe ndio mwenye gubu?Siumwi ila raha ya mwanamke akasirke tena awe na gubu yaani napendaga
TunayoWewe na uliyenaye hampo na busy life ndio maana
Kila mwanamke anapenda kukasiriahwa mkuuKila mwanamke ana vionjo vyake... wewe wako anapenda kukasirishwa.. mwingine hapendi
Mkuu mwanamke akiwa na gubu ndio utajua raha ya mapenziAwe gubu tena. Au wewe ndio mwenye gubu?
Ndio hulka yako sio mbaya
Umeonaeee, hajui mnuno huyoNa inaelekea hajapata mwanamke anayejua mnuno angempata anayeujua haswa nina imani angeshaacha hiyo tabia.
Na ndio ukweli wenyewe huoUmeonaeee, hajui mnuno huyo
No hiyo ni mawazo yako... but sikubalian na kauli yako 100%. Sema mwanamke anapenda challenge...Kila mwanamke anapenda kukasiriahwa mkuu
Heee! Niniii?Kila mwanamke anapenda kukasiriahwa mkuu
Mpaka siku umpoteze mtu muhimu ndio utajua kama ni tatizo au laaHabari wakuu
Nina tabia ya kumuudhi mama watoto wangu yaani hii Tabia nimeanza tangu muda mrefu naanzia haka kamchezo, ilikuwa lazima nikikutana na girlfriend wangu nimuudhi, yaani nitamchokoza mpaka akasirike, hapo nitafurahi
Mpaka sasa hii tabia ninayo yaani shemeji yenu asipokasirika siriziki hata kidogo, me napenda akasirike tena nimkasirishe Mimi mwenyewe, ili nimbembeleze, mwanamke akikasirika Raha, tena umpate mwanamke wa pwani, akikasirika ataongea weee, hadi raha,
Hii tabia inapelekea mademu wangu wengi wananikumbuka na kudai wamenimiss sana kisa tu nikikutana nao nawaudhi kwa makusudi, je hili ni tatizo
Kwanini mnamlaumu makonda hii kitu mbaya mkuu(ngano chakavu )Unaumwa sio bure
Bro hiyo tabia mimi nilijaribu kuiacha nashkuru kdg imepungua coz huwa siwezi kukaa bila kumuudh mke wangu kasirike huwa sijisikii kabisa hata kwa wadogo zangu wa kike ila washanizoeaHabari wakuu