Napenda kujifunza Programming language

Kila jambo lina mwanzo. Unataka kuanza na vitu gani? (mfano kuna watu wanajua web programming ila hawajui kuunda mobile apps za java, kuna watu wanaweza unda programs za kuendeshea mitambo ila hawajui kuunda programs za mabenki, etc etc) Anza kujifunza kwa kuanza na front end then urudi backend na kadri unavyojaribu kuunda kitu ndio unajifunza zaidi. Programming ni pana sana na huwezi imaliza hata ujifunze miaka 100.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mambo haya ya web design na graphic design
Mimi naendelea kujifunza kwa kufanya na kuboresha. So nakushauri:

1. Unda blog yako (ingia blogger.com ama wordpress.com then fuata onscreen instructions).

2. Google jinsi ya kuunda blog

3. Weka template

4. Anza kuandika makala

5. Ingia anza kuangalia videos za html na css

6. Endelea mpaka uvijue hivyo viwili

7. Anza kuboresha muonekano wa blog yako kwa kutumia ujuzi unaoupata.

8. Kama ukifuata hayo hapo juu basi utapata mwanga na kujua uendelee na lugha zipi (JS, php, etc) pia utajua frameworks zipi uanze nazo na CMS gani nzuri zaidi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Weka malengo ya kujifunza Java Script --- ni competitive, marketable, highly paying, numerous applicability, fashionable, ni relatively ngumu kidogo.
 
Kila jambo lina mwanzo. Unataka kuanza na vitu gani? (mfano kuna watu wanajua web programming ila hawajui kuunda mobile apps za java, kuna watu wanaweza unda programs za kuendeshea mitambo ila hawajui kuunda programs za mabenki, etc etc) Anza kujifunza kwa kuanza na front end then urudi backend na kadri unavyojaribu kuunda kitu ndio unajifunza zaidi. Programming ni pana sana na huwezi imaliza hata ujifunze miaka 100.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ooooolisikia wapi!??? 100 years of exaggerations kama kawaida
 
Kusikia au uhalisia? Huwezi maliza kujifunza programming wala coding mana ni logical languages kila siku logics zina expand.

Mfano unaweza jua javascript ila usiweze kuunda japo hata 1% ya complicated algorithms za google search. Cha muhimu kujua unataka kutengeneza nini then komaa nacho.

Mfano forex na other financial web apps zinatawaliwa na python, JS na Java. Ila kibongo bongo ukimwambia mtu akuundie zile mambo dah mtarekebisha makosa kila siku.

Ungekuwa mwalimu mie manager wako ningekupiga chini leoleo kwa ushauri wako huu kwa new student. Nyie ndiyo Profs ambao wanasifa za kutishatisha wanazuoni as if mlizaliwa mkijua kila kitu. Ushauri wako ni VERY poor & irrelevant.
 
Nitajie japo hata mtu mmoja unaeamini amemaliza kujifunza programming?

Hii kitu hainaga mwisho. Kama uliachaga kujifunza basi ushapitwa na mengi sana. Na kama hujapitwa na mengi hebu tuambie kuna nini umefanya cha kuleta effect kwa jamii kutumia programming?

Ukiona unaanza kushambulia ujue umeishiwa hoja. Nikiwa na meneja anaeshambulia badala ya kudebate bora nikajiajiri kuliko kuongozwa nae.
 
The difficult skill of learning is "how to learn but not what to learn". You can learn anything for a very short time if you know that secret.
Dou yo know ten "thousand hour" principle?
Men! anything which you need to master you have to use ten thousand hour otherwise you will never be a master.
Therefore, I advice you to learn how to learn not what to learn!!
Experience show that most people who self learn coding end up being bored and decide to quite!!
I advice you to join or use Quora forum, there are so many computer scientist Guru who can direct you how to go about your journey, but also there are so many answer from world class experts whom are impossible to meet them here at JF.that is my second forum after jf.
Join geegs4gees,use BB.com,khan academy etc they have very simplified tutorial.
Use You tube,google search nk.
Kama utapenda kuanza na Java vitabu viguatavyo ni must read for begginer.
1.Head first java
2.Introduction to java( comprehensive approach ) by Daniel liung.hiki kitabu utakuja kunishukuru
3.Java 101.It is examples based book for beginner.
Vyote free download.
 
Kila jambo lina mwanzo. Unataka kuanza na vitu gani? (mfano kuna watu wanajua web programming ila hawajui kuunda mobile apps za java, kuna watu wanaweza unda programs za kuendeshea mitambo ila hawajui kuunda programs za mabenki, etc etc) Anza kujifunza kwa kuanza na front end then urudi backend na kadri unavyojaribu kuunda kitu ndio unajifunza zaidi. Programming ni pana sana na huwezi imaliza hata ujifunze miaka 100.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Duh! Miaka 100?
 
Kwa kiasi navyojua, ili kuwa programmer ni rahisi sana cha msingi ni kujua utakuwa upande gani, mfano unataka kuwa developer wa mobile app na kwenye mobile app kuna lugha tofauti za kuweza kukufanya ukamilishe ndoto au lengo lako la kuwa programmer wa mobile app, hivyo hivyo kwenye desktop app au gaming developer na aina zingine za programming language. Ila sijui kama nakosea mtanisahihisha wordpress huwezi kuwa programmer maana ni kupachika pachuka plugins na kazi imeisha hujui logic. Na hutaweza kusolve serious problem na wordpress zaidi ya kutengeneza blog. Na wordpress si lazima uwe programmer yoyote anaweza fanya ni kufuatilia mwongozo.
 
Back
Top Bottom