Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,306
Kuna maswali kama yako? ???
Calm down, mi nilivoelewa jamaa kakuuliza kuhusu gogle, we ndo umwelezee gogle ni nani
Kuna maswali kama yako? ???
Uwiiiii hapana chezea gogle wewee
Kwa hiyo anapenda kujua gogle kaolewa au???
Mimi ni mmoja sinaga ku-log out unaweza kunikuta mda wote niko online kumbe nimelala
Kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani Nipo mzima wa afya tele.
G.
Kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani Nipo mzima wa afya tele.
G.
Nataka kumfahamu huyu mwana jf Dinazarde ni nani? alizaliwa lini na wapi? alisoma shule/chuo gani? wapi?marafiki zake ni nani? ameolewa? kama ndio mme wake ni nani? anafanya kazi wapi? ana umri gani?
Kuna maswali kama yako? ???
Mkuu mbona una maswali kama mtu wa system?