Kwani moderators hawana namna ya kuthibitisha hili?
Via e-mails,.....
Last Activity haitoshi kuthibitisha kwani sometimes mtu anapotelewa na simu au anakuwa ameishiwa credits, Mods muwe na namna ya ku-monitor na kufuatilia suala kama hili hasa linapoletwa katika hadhira hii,.
Huyo mjomba wake mngetakiwa mumuulize maswali ya kutosha awapatie majibu ya uhakika na siyo guessing zisizokuwa na maana!!
Na nyie mnaokimbilia kuweka R.I.P mna akili sawa kweli? Who told you the guy is dead? Are assured?,..
Please Moderates tuondoleeni hii sintofahamu,..