mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Siku hizi jf ukiwa offline siku kadhaa utaona uzi wa kifo chako duu kazi ipo chacha..
Loh!!
Na mimi inanibidi kila siku niwe hewani JF ili msije fikiri nimefariki.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Siku hizi jf ukiwa offline siku kadhaa utaona uzi wa kifo chako duu kazi ipo chacha..
Kwahiyo huu uselamavi wako ndio unaona ujanja?Kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani Nipo mzima wa afya tele.
G.
Kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani Nipo mzima wa afya tele.
G.
Kama uliota vile mkuu Gogle mwenyewe huyo hapo keshafufuka tayari nimeamini kuna watu wanatafuta kick kwa nguvu!Ukisoma thread za Gogle utagundua kuwa ni mtu anayependa sana attention..siwezi kushangaa nikisikia alitengeneza ID mpya na akajifanya anatupa habari kama mjombawake..ili aone reaction za watu
Nae ashakufa akarudi au! !!!!
Weee ujue ili iweje!!!!!!!!"itakusaidia niniii!!!
Uwiiiii hapana chezea gogle wewee