Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,171
Bongo kuna wakatishaji tamaa walio kubuhu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehehe mkuu unajua ni muhimu kusema ukweli kuliko kuzunguka mtu akapoteza muda.
Bongo kuna wakatishaji tamaa walio kubuhu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukweli unauma mkuu[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hehehe mkuu unajua ni muhimu kusema ukweli kuliko kuzunguka mtu akapoteza muda.
kwa wale wote waliochangia mada yangu positively nawapongeza sana na pamoja na jamii forum kwa pamoja niliamini yatatimia na kweli nashukuru sana na napenda kuwajulisha nimepata sponsor kutoka Nchi ya Australia msamaria mwema tena Mtanzania mwenzetu nashukuru sana tena sana. amenilipia course yote na nauli ya kwenda na kurudi Tanzania.Kwanza aug25 iliipita ulimpigia nan Kura??
Na pengine itamlipa kuliko anavyo fikiriakama ndio hivo mbadala wake akasome short kozi za OSHA