Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,917
- 2,057
Habar jamani yaani sijui ni ugonjwa au ni kitu gani yani kwa hii harufu huniambii kitu sababu naipenda xana kuinusa hasa nikipita maeneo ya sheli yani natamani nibaki palepale,shida nikipanda gari then tupitie sheli yani i feel comfortable xana :crazy::crazy:,,,,sasa hadi sasa sijajua ni ugonjwa au hobby katika mwili wangu sababu sihisi kukerekwa na hii harufu but nikiskia harufu ya mafuta ya taa napata shida xana //kwani hili linaweza kiniletea madhara baadaye au ni kawaida tuuu
maana kuna jamaa nlliskia hupenda xana harufu ya soksi chafu hapo humwambii kitu ,,,,,kama ni ugonjwa naomba mniambie
AM DONE.........
maana kuna jamaa nlliskia hupenda xana harufu ya soksi chafu hapo humwambii kitu ,,,,,kama ni ugonjwa naomba mniambie
AM DONE.........