Nape ameunda genge la majangiri ili kushambulia Viongozi wa CCM wanaopingana nae, lakini katika hali ya kumshangaza wamemtumia mkakati wake wa Toka mwanzo na mpaka alivyofikia na inasemekana amelazwa kwenye hospital moja mashuhuru akisumbuliwa na presha
godwine,
nakutunuku wewe na waliokutuma degree ya kwanza ya uongo, umbea na uzushi!!!
unadhani ni zana zipi walizonazo NAPE na JK za kuweza kumshinda lowassa kukabiliana nazo kwenye chama cha magamba mpaka wamkimbize
hawakumpora bali ata dr slaa mwenyewe alishirikishwa katika zoezi lile na aliambiwa jumla ya wabunge wote wa upinzani awafiki ata moja ya tatu hivyo kutokana na katiba ya sasa waziri mkuu atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi hivyo pia ata kama dr slaa angepewa urais waziri mkuu asingeweza kutoka Chadema angetoka CCM,Usalama wa Taifa. Kama waliweza kumpora Dr. Sla uraisi, hawashindwi kumpoteza Lowasa kama mkuu wa magogoni akiamua
Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
Wanahitaji Anointing water toka kwa TB Joshua!
Godwine,
NAKUTUNUKU WEWE NA WALIOKUTUMA DEGREE YA KWANZA YA UONGO, UMBEA NA UZUSHI!!!
ya ngoswe tumwachie ngoswe mwenyewe
Usalama wa Taifa. Kama waliweza kumpora Dr. Sla uraisi, hawashindwi kumpoteza Lowasa kama mkuu wa magogoni akiamua
Godwine,
NAKUTUNUKU WEWE NA WALIOKUTUMA DEGREE YA KWANZA YA UONGO, UMBEA NA UZUSHI!!!
Haya ndo majibu yale yale yaliyomgharimu HAWA NG'UMBI wakati ule wa Mchakato Majimboni. Hamko tayari kusikia mabaya au likisemwa jambo ambalo masikio yako hayapendi kusikia WHY? Ushakuwa mwanasiasa mabaya na mazuri yote yako kuwa tayari kutumia busara na diplomasia katika kujibu yote......
lowassa ni mwenyekiti ya kamati ya ulinzi na usalama ambayo mkurugenzi wa usalama wa taifa anaenda kuomba mafungu yapitishwe kwenye kamati ya lowassa. pia mambo yote wanayofanya lazima yawekwe wazi kwenye kamati hii, lowassa yuko karibu na usalama wa taifa kuliko jk
kitu hicho nadhani ni ndoto 2012 tarajia wafuasi wa lowassa kushika chama kwenye chaguzi za ndani ya hama baada ya hapo ni kukamilisha ratiba ya 2015. Ni ngumu kupambana na mkulima aliyekupandia shamba lako na wewe ukaenda kuvuna tuMkuu nchi hii trust no one. Huyo Mkuu wa TISS alirudishwa TZ na JK na kwa Sasa JK na EL ni paka na chui. Nadhani before 2015 tutakuwa tumeshafannya Uchaguzi mdogo wa Monduli.
Nape hana uwezo wa kutatua matatizo yake binafsi ataweza ya ccm....imagine aliambiwa na familia ya Nnauye mwaka juzi akapime nao DNA kujua kama kweli ni mtoto wa Mzee Nnauye lakini yeye akagoma na kukimbia baada ya kushuriana na mama yake anaeishi Mwanza.....sasa atawezaje ya CCm hapo wakati yake yanamshinda.