Nape;"tutashinda arumeru zaidi ya igunga"

R-CHUGA

Member
Mar 23, 2012
77
8
Nimemsikia katibu wa uenezi wa CCM akijitamba kwenye chombo kimoja cha habari kwamba chama chake wana uhakika wa kushida zaidi ya walivyoshinda Igunga. Amesema hii ni kutokana na utafiti walioufanya na kugundua kwamba bado sisiem inakubalika sana Arumeru.Ila kilichonishangaza hajasema huo utafiti ulifanyika kwa njia gani ukizingatia hakuna kura za maoni zilizowahusisha wananchi ambozo zimeshafanyika au anataka kutuambia kwamba ana scanner inayoscan ubongo wa wananchi.
 
Mwambie akaribie Meru. Kiboko yake ni Lowasa, lazima amsujudie!!
 
Hizo ni kauli tu hata TLP ADC wanaweza wakasema. Sikukuu ya wajinga ndio suluhisho la kauli hizi zote
 
Nimemsikia katibu wa uenezi wa CCM akijitamba kwenye chombo kimoja cha habari kwamba chama chake wana uhakika wa kushida zaidi ya walivyoshinda Igunga. Amesema hii ni kutokana na utafiti walioufanya na kugundua kwamba bado sisiem inakubalika sana Arumeru.Ila kilichonishangaza hajasema huo utafiti ulifanyika kwa njia gani ukizingatia hakuna kura za maoni zilizowahusisha wananchi ambozo zimeshafanyika au anataka kutuambia kwamba ana scanner inayoscan ubongo wa wananchi.

Utafiti wao wametumia TUME ya TAIFA ya UCHAGUZI pamona na Jeshi la POLISI.
 
Huwa ninapata faraja kumsikia kiongozi wa CCM akisema "BADO" tunakubarika au "BADO" tunaushawishi kwa sababu huu ni ushahidi uliofichika ndani kabisa ya nafsi zao kwamba INFACT HAWAKUBARIKI.
 
Nimemsikia katibu wa uenezi wa CCM akijitamba kwenye chombo kimoja cha habari kwamba chama chake wana uhakika wa kushida zaidi ya walivyoshinda Igunga. Amesema hii ni kutokana na utafiti walioufanya na kugundua kwamba bado sisiem inakubalika sana Arumeru.Ila kilichonishangaza hajasema huo utafiti ulifanyika kwa njia gani ukizingatia hakuna kura za maoni zilizowahusisha wananchi ambozo zimeshafanyika au anataka kutuambia kwamba ana scanner inayoscan ubongo wa wananchi.

Propaganda tuu hizo, nasikia leo anabow kwa the great Laigwanan, chezea Lowassa wewe! kwake kila mwana CCM atapiga goti!
 
Aisee. Atuletee matokeo hapa mapema mapema kama yale ya Igunga halafu akane ID yake tena.
 
wankubalika wapi?
Mbona wanafanya matukio ya kinyama, kuua na kumwagia watu tindikali?
 
Nimemsikia katibu wa uenezi wa CCM akijitamba kwenye chombo kimoja cha habari kwamba chama chake wana uhakika wa kushida zaidi ya walivyoshinda Igunga. Amesema hii ni kutokana na utafiti walioufanya na kugundua kwamba bado sisiem inakubalika sana Arumeru.Ila kilichonishangaza hajasema huo utafiti ulifanyika kwa njia gani ukizingatia hakuna kura za maoni zilizowahusisha wananchi ambozo zimeshafanyika au anataka kutuambia kwamba ana scanner inayoscan ubongo wa wananchi.
Mkuu naona utabiri wa nape ulikuwa sahihi kabisa 100%. Mpeni salaam mwambieni anakaribishwa sana kwenye sherehe ya kumpongeza SIOI mkwe wa EL.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom