Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Nape sijaona kosa lake yeye ni mtu wa Propaganda na ndio kazi yake, akikaa kimya mnashangilia mkijibiwa mnakuja juu, ni mara ngapi tunaona mitusi ya ajabu humu ndani na haijibiwi? Nape ndio saizi ya wale wote wanaopenda NDOTO za Ikulu wakati hawajui na wao huko nyuma wana matatizo