Nape si mwanachama wa CCM

Nape si mwanachama wa CCM

Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

Haya majibu mepesi naya kejeli yanawa cost daily lakini hamjifunzi siunge scan receipt fasta ukanushe hoja kwa ushahidi? Majibu yako mepesi yanawafanya watu waamini ni kweli unajua Huku jf kuna watu vichwa ambao ukimuweka mmoja na wabunge 100 wa ccm watamkimbia wamuache peke yake mtu Kama Ritz etc tunataka majibu mazito Mkuu
 
Vuvuzela Nape anayetumia makasi kufikiri badala ya akili,akili kafungia kabatini,kijana wa CCJ,Tunakusubiri kwa hamu 2015
 
Kwa hiyo unamaanisha nape anaongoza CCM kwa kadi ya CCJ? Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni!
 
Nape hana la kusema hapa. Ameishia kucheka tu, eti amefurahi. Yaani CCM wameishiwa think tank! Its pity.
 
Huyo ndo nape Nnauye yeye ni ujanjaujanja tu,hata vyeo vyake amechukua kiujanja tu. Mnaona sasa ccm inaongozwa na ccj,ama kweli ccm inabidi ipumzishwe kuliongoza taifa letu.
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
he mkuu ndo njia ya kujibu hoja hiyo. Vicheko vina maanisha nini? Ukweli au uwongo? Kweli ccm ni zaidi ya uijuavyo!
 
sisi tunasubiri majibu wewe unaleta utani!

Lazima apotezee kwanza ili apate muda wa kutuma vijana wake wakamchakachulie ma madokyumenti na marisitj.

Anaweza kuleta risiti zingine hata kabla hajazaliwa. Si baba yake alikuwa mwanachama halali!
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
Habari Asali ...hahaha
 
Kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu nchini, udhaifu, migogoro na ubaya wa CCM kamwe hautufanyi sisi kuwa imara, Hayo ni yao ndani ya Chama chao. Tushugulike na mambo serious ya Taifa. Uchumi ,Demokrasia , Utawala bora na Uhuru wa kujieleza.

Lawama zote kwa John
 
Back
Top Bottom