Nimepokea taarifa kutoka vyanzo mbali mbali kwenye mashina ya Chama hiki kinachopotea Kwa kasi, kwamba viongozi wengi hasa MAwaziri, Wabunge, Madiwani Na Kada nyinginezo wamejitokeza Kwa Siri au Kwa sababu mbalimbali kwenye mashina ya CCM, wakijitahidi kutafuta kadi za CCM, Na kukamilisha miamala ya uanachama ili wajilinde Na kimbunga ambacho chaweza tokea cha sakasaka ya wanachama wenye kadi Na walipao Ada zao.
Baadhi ya matawi mengi yamenadi kwamba kuna vijana wametumwa kuwakatia kadi 'wazee' Na kufanya taratibu zote za uanachama Kwa visingizio kwamba ''wazee ' Hao wamepoteza vya awali wakati Wa kampeni au hekaheka za Ujenzi wa Chama..
Ingawa Ofisi nyingi zimenufaika Na maingizo hayo ya mapato ila wanahoji Mbona watu Hao ni wakubwa sana wa Chama ? Iweje wawe wazembe wa kupoteza kadi zao za awali au ni janja tu ya kujihami..
Kwa Mujibu waponyosha habari kutoka kwa Katibu mwenezi Wa CCM Taifa, nae ameshakamilisha maandalizi ya kuanza kutafuta kadi.. Wapambe wake tayari wameshapewa cha kwao, wameanza rasmi mchakato huko TANGANYIKENI.. Wamekubaliana awe nacho ila akifiche ili siku ya kikao ikitimka hoja ya wasiokuwa na kadi ndipo akitoe as if alikuwa nacho Long.
Tatizo linalojitokeza ambalo wapambe hawajalijua, Kadi za Ccm zimekuwa zikibadilika badilika rangi , muundo Na size kila mwaka.. Kuna vya green86, green54, green90 Nk kutokana na mwaka Na mwaka.. Na ile ya green 86 baada ya miaka mitatu inaonekana Kama green 54.. Pia size ni tofauti..vya Zamani vilifika hadi size ya 5'x3' sasa tunakisubiri hicho atachokitengeneza NAPE, Na Kama .. Kikiwa na ukweli kikaonyesha amekikata May au June 2012, hatuna maneno nae ila aki-back Date,, aisee hataenguliwa uanachama yeye peke yake hadi Bosi wake aliyemzawadia cheo hicho cha kutukana wazee..