Nape si mwanachama wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape si mwanachama wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eng. Y. Bihagaze, May 29, 2012.

 1. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  index.jpg . . ? 1.jpg !!!
  [FONT=&amp]
  Kutokana na wimbi la wananchi kuchukizwa na mfumo wa CCM na serikali yake na kiasi cha wanachama wengi kukihama chama hiki kikongwe, vile vile kutokana na ukweli kwamba chama hiki kikongwe kimepoteza mwelekeo kwa kasi na kustawisha majungu, udini, fitina na umaskini miongoni mwa jamii ya watanzania, Ububu au ukiziwi wa viongozi wake kwenye kero wazi zinazowasumbua wananchi kama migomo ya madaktari na chochezi za ubaguzi, baadhi wa wanachama wa CCM wameguswa na matukio ya upepo yanayokiandama chama chao hiki.

  [/FONT]
  [FONT=&amp]Fukuto la minong'ono kwamba kuna watumishi wengi wa serikali wakiwemo wanajeshi wana vyeti feki, limesokota hisia kwa kundi la wanachama wa CCM nao kuingiwa na mawazo kwamba isitoshe ndani ya CCM kuna vidudu-mtu ambao si wana CCM, lakini wako ndani ya Chama ili Kukidhoofisha na kukiua isitoshe baadae waunde vyama vyao kama ilivyokuwa kwa baadhi ya Vyama kongwe barani humu.

  [/FONT]
  [FONT=&amp]Vuguvugu la kishawishi hiki kiliwasukuma wanachama hawa kwa siri kuunda kikosi kazi ili kuchunguza uhalali wa uanachama kwa baaadhi ya Viongozi wa chama chao ambao waliwalenga kama wavunjaji wakuu wa Chama. Baada ya wiki chache za uchunguzi wao wameorodhesha na kugundua kwamba baadhi ya viongozi wao kimsingi si wanachama wa Chama hiki. Wana-ccm hawa wakachomoa karatasi moja ya mtuhumiwa ambayo waliipenyeza kwenye meza yangu na mimi bila kumung'unya maneno LAZIMA niweke wazi suala lao kwa manufaa ya Umma. [/FONT] [FONT=&amp]Kwa ridhio langu mwenyewe, na kama nazusha basi ntakua nimekiuka JF rules na nastahili kupigwa BAN!!, lakini nachokitoa ni uchunguzi uliojitosheleza ..

  [/FONT]
  [FONT=&amp]Nasema Nape, Moses Nnauye, si MWANACHAMA HALALI wa CCM, nikiwasilisha hoja ! Viongozi wote wa CCM mjue, kamati Kuu Ijue, Sekretariat ya Chama nayo ijue HILI..

  [/FONT]
  [FONT=&amp]1. Nape hana KADI ya CCM. Ingawa katiba haitaji moja kwa moja kwamba mwanachama wake itampatia kadi maalum yenye namba, ni utaratibu uliozoeleka wa kila mwanachama kuwa na kadi ya Chama Chake, Nape hana kadi Yoyote labda ya CCJ, mfukoni kwake kwa sasa. Kama atakuwa nayo basi aikate LEO baada ya kuona bandiko hili..labda. Kadi inuzwa kwa Tsh 500. Nape hana. Hana na anajua kwamba anatakiwa kuwa nayo muda wote. Na kama anayo naahidi kupigwa BAN!! Hapa JF na najiunga na CCM LEO, aniambie tu namba na tawi alilokata kadi hiyo.. HANA HANA HANA.. NASISITIZA SI MWANA CCM.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]2. [/FONT][FONT=&amp]katika sehemu ya pili, fungu la kwanza Ibara ya Tisa ya katiba ya CCM, inasema mwanachama anayeomba uanachama wa CCM, atajaza fomu maalum ya uanachama na kuipeleka kwa katibu wa tawi analoishi. Nape hana tawi, hakuna kumbukumbu Popote kwamba mweshimiwa Huyu aliwahi kujaza Form za mwanachama, wala tawi husika. Anaeleaelea tu . kama analo ataje tawi husika tuone form husika na lazima tuwajibike kama tumemnangia makosa.[/FONT]
  [FONT=&amp]
  [/FONT]
  [FONT=&amp]2. Katiba ya CCM, kwenye Ibara ya 10, Fungu hilo hilo inasema kamati ya Siasa ya halmashauri kuu ya CCM itakaa na kutoa maamuzi ya mwisho juu ya maombi ya mwanachama husika . hakuna Miniti zozote na Popote ambapo Halmashauri kuu ya CCM ilikaa na kumpitisha Nape na wengineo kwenye orodha ya Kikosi kazi hicho kwamba ni wanachama wa CCM. Kama kipo aseme tuwajibike..[/FONT]
  [FONT=&amp]
  3. [/FONT][FONT=&amp]Na Ibara ya 11 ya Fungu hilo inaainisha kwamba[/FONT]

  [FONT=&amp]Mtu akiwa mwanachama itabidi atekeleze yafuatayo.
  [/FONT] [FONT=&amp]
  a). [/FONT][FONT=&amp]Atatoa kiingilio cha uanachama ( Nape hajawahi kulipa kliingilio popote hapa Duniani cha uanachama wa CCM, kama amelipia hata kama ni kuzimu atuonyeshe risiti husika)
  [/FONT]
  [FONT=&amp]b). [/FONT][FONT=&amp]Atalipa ada ya Kila mwezi au akipenda atalipa kwa mwaka mzima (nape hajawahi kulipa ada hii jamani. Uhai wa Chama unategemea ada kutoka kwa wanachama wake, mwanachama Huyu hajawahi kulipa ada Yoyote, ni usanii sanii tu, kama anayo atuonyeshe risiti zote, au aseme amelipia kwenye tawi gani kikosi kazi kitafuatilia leo leo yeye ni kiongozi, hakuna usiri kwenye mambo haya, ni ya wazi kabisa, sijamtaka atuonyeshe account yake ina kiasi gani?, ni uhalali wa uanachama wake tu, na hili ni jambo la wazi kabisa)
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Pamoja na mapungufu mengine mengi yaliyojitokeza, kikosi kazi hicho kimebaini kwamba baadhi ya viongozi wake wakuu si wanachama wa Chama hicho. Imagine Mtu mpaka anapewa kuwa Katibu Mwenezi wa Chama, hana sifa za Uanachama, unategemea atakuwa kwa maslahi ya Chama kweli au pana agenda ya siri hapo, alihoji mjumbe mmoja.

  [/FONT]
  [FONT=&amp]Ni Vema wanachama wa CCM wakawa macho na baadhi ya Viongozi wao, kauli aliyoitoa mweshimiwa huyu juzi kwamba CCM haifi hata akibaki peke yake, anamaanisha kila mtu sasa aondoke CCM ili abaki peke yake. Wazee wa mji waliokuwa kwenye kikao, wakimwelezea kwanini vijana walisusia mkutano wake , na kero ambazo zinakiandama chama, mweshimiwa huyu hakujali kujibu hoja husika badala yake alizidi kutoa matamshi tata ya kubariki watu kuondoka CCM abaki peke yake, akishabaki peke yake then, akibadili jina au..

  [/FONT]
  [FONT=&amp]Hutakiwi kujibu hoja Ngumu kwa majibu laini, jipange, kanunue kadi, uwe na tawi, Lipa ada Zote, jenga chama chako, Kiongozi lazima uwe mfano, ukiona inakukera achana na Uongozi nenda kaendeleze NGO aliyoiacha Mzee. [/FONT]
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,350
  Trophy Points: 280
  Dunia inaisha kama ndivyo hivyo.

  Assume umekua mfuasi mzuri wa dini ya Islam, na unafuata karibia matendo na suna karibia zote za Mtume Mohammad (S. A. W),
  Eti uje uambiwe HAKUA MUISLAM.

  Anyway,
  Wacha aje mwenyewe atuambie
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  naomba kuuliza kwa mwanachama wa CUF, NCCR Manunuzi na CCJ siyo matawi ya CCM kama ndiyo kuna ubaya gani kumiliki kadi ya chama moja wapo kati ya hizo.. wote tuna jua mbatia ni NCCR manunuzi je anakadi ya CCM au ya NCCR Manunuzi...hahahahahah
   
 4. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ukiuliza sana.. unaambiwa ndivyo ilivyo..
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nie ndiyo munatu halibia nchi weka pembeni mambo ya dini tuko kwene siasa mkuu....nijuvo mimi uwe mwanachama lazima uwe na kadi tena iwe active maana haiwezekani uwe nakadi hujailipia miaka 20 bado ukajiita wewe mwana chama hai wa chama husika.. na upande wa dini ukitaka kulinganisha kwa sisi wa kristu huwa tuna batizwa sijui kwa waislam lakini lazima kuna kitu lazima kifanyike ili utambuliwe kuwa wewe ni muislam....na baadhi ya dini hata siku ukifa lazima wapate taarifa zako za nyuma kama huwa unaenda kanisani, unatoa fungu la kumi nk ndiyo wakuzike......
   
 6. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Parapanda inalia parapandaaa....parapandaaaa inalia parapandaaaa
   
 7. Encyclopaedia

  Encyclopaedia Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is too objective
   
 8. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...
   
 9. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Makubwa ya Mbaruku !
   
 10. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni lazima yaandaliwe mashtaka, Kiongozi asiye Na sifa za Uanachama aondolewe HARAKA si Kwa CCM tu Bali Chama chochote kile
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mie siku zote nasema NAPE NI MAMLUKI WA CHADEMA ndani ya CCM..ukimsikiliza nape utatamani hadi kucheka

  unaeza jiuliza hivi huyu jamaa ni kiongozi wa juu wa chamaa au ni nani ndani ya chama...

  Any way M4C itawaumbua tu hawa mwisho wa siku yeye na m/kiti wake watakapovua gamba na kuvaa gwanda..
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Nape tunakuomba uje ujibu hii mada ni nzito sana sijui kama utaimudu lakini.
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mtoa mada sijui ana stress gani leo...sa hapo juu umesema kua ni jambo la kawaida kuwa mwanachama wa ccm na usiwe na kadi ya ccm. Hapo hapo tena unasema Nape sio mwanachama wa ccm kwa sababu hana kadi ya ccm. Daahh wabongo bana
   
 14. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuipeletuipele nyinyiem kwenyenyumba ya milele. Hakika nyinyiemu inakufa kwa staili hii kwishineyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!! Mtu una kadi ya uanachama sasa ndio napata hakili kwanini anasema waondoke tu hata akibaki yeye pekeyake ataiita ccj aahhhhhhhhhhhh kweli kuwa uyaone
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  SALMA2015 leo umemmaliza huyu kijana msanii,na sijui M/kiti wake atasemaje?maana naye ni mhusika mkuu kwenye hii tuhuma.
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Yaani namsubiri kwa hamu Muhusika aje kujibu hapa.
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  ni kweli hana kadi huyu jamaa
   
 18. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Unataka kusema kuwa CCM imetwaliwa tayari! mbona unaipigia parapanda??
   
 19. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nape hawezi kuja hapa na akija alete scanned kadi yake na sisi utalaamu wetu wa forensic tutabaini tu lini kadi hii alipewa
   
 20. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  yeye sio mwanachama ni mshabiki tu au tumuite ni mnazi wa Magamba!!!
   
Loading...