mie siku zote nasema NAPE NI MAMLUKI WA CHADEMA ndani ya CCM..ukimsikiliza nape utatamani hadi kucheka
unaeza jiuliza hivi huyu jamaa ni kiongozi wa juu wa chamaa au ni nani ndani ya chama...
Any way M4C itawaumbua tu hawa mwisho wa siku yeye na m/kiti wake watakapovua gamba na kuvaa gwanda..
nape hawezi kuja hapa na akija alete scanned kadi yake na sisi utalaamu wetu wa forensic tutabaini tu lini kadi hii alipewa
Hana Haja hata ya ku scan.. Aandike tu namba yake inatosha, Na Jina la Tawi Kama lipo kwenye huu ulimwengu Wa mja wa mwenyezi
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

Na wewe umeamua kuwa kama William Malecela.
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
Kwani alishahama CCJ(aka CCK)? Kumbukumbu zangu zinaonyesha yupo huko au kuna changes zilitokea?
kama cheti cha kuzaliwa, hati ya pasipoti zina fojiwa itakuwa kadi ya uanachama wa nape tena zinatolewa mpaka vichochooroni, wewe subiri atakuja na mbembwe kibao hapa.Nape tunakuomba uje ujibu hii mada ni nzito sana sijui kama utaimudu lakini.