Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,793
Naona na wewe uko kama mimi kwa kuwa nyuma katika kujua mambo yanayoendelea hapa nchini. Hata hivyo kwa upande wangu nilibahatika kumsikia kiongozi mkuu kabisa akisema hadharani kwamba ni yeye aliyezuia bunge kutoonyeshwa live.Unafiki huu sijui TZ utaisha lini yeye mwenyewe kuwataja mafisadi na kukemea wenzake CCM anashindwa,hapo kaongea ili mradi aonekane.Kipindi kile yy alikuwa kimbele mbele kuzuia bunge lisirushwe live na goli lake la mkono.
Kwa nini hakumkemea au basi hata kumshauri,manake hata yeye alikuwa anaunga hoja,bunge lisiruke live.Kuwa mwanaharakazi ni kazi ngumu sana unatakiwa uongee bila kuogopa chochote wala kumuogopa mtu yoyote as long huvunji sheria za nchi,kinyume chake utabaki kuwa mnafiki kama Nape.Naona na wewe uko kama mimi kwa kuwa nyuma katika kujua mambo yanayoendelea hapa nchini. Hata hivyo kwa upande wangu nilibahatika kumsikia kiongozi mkuu kabisa akisema hadharani kwamba ni yeye aliyezuia bunge kutoonyeshwa live.
Kwani Nape ni mwanaharakati? Pamoja na yote lakini angalau kwenye huo uvamizi wa Clouds Nape hakuwa mwoga.Kwa nini hakumkemea au basi hata kumshauri,manake hata yeye alikuwa anaunga hoja,bunge lisiruke live.Kuwa mwanaharakazi ni kazi ngumu sana unatakiwa uongee bila kuogopa chochote wala kumuogopa mtu yoyote as long huvunji sheria za nchi,kinyume chake utabaki kuwa mnafiki kama Nape.
Hana unaharakati wowote anatapatapa sababu kanyang'anywa tonge mdomoni,wewe jiulize kafulila una msikia siku hizi?.Kwani Nape ni mwanaharakati? Pamoja na yote lakini angalau kwenye huo uvamizi wa Clouds Nape hakuwa mwoga.
umewasahau wale triger-happy wa Lissu..Kunamatukio tulitarajia kuwafahamu wasiojulikana. Lakini Ni matukio mawili tu yaliwekwa wazi na watendewa.
1. Clouds tuliwaona live, hongera Ruge kwa hili
2. Tukio la kuvamiwa zakaria mfanyabiashara Musona alipowalamba risasi maafisa usalama.
Tafadhali Roma Na MO tunasubili ushuhuda wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyoona alipoamua kufuatilia lile tukio la uvamizi hakujua kuwa gharama yake inaweza kuwa ni kunyang'anywa tonge mdomoni na kujiweka tayari kwa hilo?Hana unaharakati wowote anatapatapa sababu kanyang'anywa tonge mdomoni,wewe jiulize kafulila una msikia siku hizi?.
Kaka unaoneka wewe mgeni wa wanasiasa wa Tanzania,tupo ngojea siku apewe cheo ndio utaona upuuzi wake Ref Masha kakosa ubunge akawa mwanaharakati na chama kahama,leo karudi CCM sijui kapewa cheo gani kelele hatusikii tena,mwisho wa siku kawaharibia wenzake akina Mbowe.Mimi mwenzio wanasiasa wa TZ kauli zao sizitilii maanani hasa wa CCM sababu wengi ni wanafiki.Unavyoona alipoamua kufuatilia lile tukio la uvamizi hakujua kuwa gharama yake inaweza kuwa ni kunyang'anywa tonge mdomoni na kujiweka tayari kwa hilo?
Hana unaharakati wowote anatapatapa sababu kanyang'anywa tonge mdomoni,wewe jiulize kafulila una msikia siku hizi?.
KABISAAAANaona na wewe uko kama mimi kwa kuwa nyuma katika kujua mambo yanayoendelea hapa nchini. Hata hivyo kwa upande wangu nilibahatika kumsikia kiongozi mkuu kabisa akisema hadharani kwamba ni yeye aliyezuia bunge kutoonyeshwa live.