Nape: Ruge alikuwa jasiri kwa kutaja hadharani watu waliovamia Clouds

Unafiki huu sijui TZ utaisha lini yeye mwenyewe kuwataja mafisadi na kukemea wenzake CCM anashindwa,hapo kaongea ili mradi aonekane.Kipindi kile yy alikuwa kimbele mbele kuzuia bunge lisirushwe live na goli lake la mkono.
huyo jamaa anakera sana sijui analiwa 0714!? silipendi linafiki sanaaa mchumia tumbo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlimskia akigawa ID za wamachinga!
.
Ni maoni yangu kwamba ID za wamachinga ni dhana chanya.
Kwa hiyo sio sawa kumdhihaki yeyote, ama aliyeasisi wazo au kulitekeleza.
Hata hivyo, kuna haja ya kuboresha dhana hiyo, kama baadhi ya watu wanavyo sema.
Kwa mfano, kuna mama ntilie anapika na kuuza kilo tatu cha mchele kwa siku.
Huo ndio mtaji wake.
Anaweza kuruhusiwa kulipia ID hiyo kwa awamu, kwa mfano?
Hili ni jambo linajadilika.

Mama Amoni.
 
Back
Top Bottom