uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 15,934
- 29,971
Mh Bashe:
Kwa ufahamu wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,
Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!
Mh Nape:
Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.
Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.
Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!