Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

Kitu pekee kinilichogundua kwa mtoa maada ni kwamba,yeye ni mzalendo wa CCM,sio mtanzania mzalendo na tatizo hili limeathili nchi kwa kiwango kikubwa mno.Wafuasi wa CCM wako tayari kuona raia wanakufa,elimu&uchumi unadorola,ila wao CCM mbele mbele[emoji36][emoji36][emoji36]so hurtful,we must regain independence again from CCM by any means
 
Hao ni kuwachira tu tena vizuri.Wanataka kututoa wenye reli ya maendeleo. Magufuli shikilia kabisa Ngosha. Hawa vijana wapuuzi sana. Bashe anajulikana hivyo asikutie hofu. Nape anatabia ya kutaka aonekane kila sehem hivyo hupenda sifa. Ulifanya la maana kumtumbua.
 
Hao wote hawafanani na wazee akina Mwinyi..Kikwete na Mkapa...hawafanani kwa mfano ulioutoa...their time has ended....they have had their time ....sasa ni wapenzi watazamaji....na hivyo ndivyo ipasavyo kuwa.

They cannot utter a word publicly on what is taking place.
 
Miaka 54 CCM madarakani ajira zimewashida kuajiri madawa hospital yamewashida mawanafunzi stil madwati bado yamewashida wanakaa chini nyumba za Police zimewashida kujenga walimu mishahara kuongeza imewashinda kuwaongezea kwa sababu ya kutetea chama baada ya bunge kutetea wananchi inabaki kutetea serikali na vyama Bora tupate katiba mpya iwepo mgombea binafsi
 
Tena uzuri wa Nape alishaonja adha ya kufukuzwa na kunyang'anywa kadi ya Uvccm. Na bado 2010 alifanikiwa kuanzisha chama na "wenzake" ambapo leo "wenzake" wako kwenye beam ya devices as good conductor. Kibaya kinachomkabili anaamini ubora wa chama, ambao haupo. Hii ni matokeo ya kinywa chake, hakuhifadhi maneno, na sasa ccm wanapaswa wamuumize ili ajute sana, otherwise, atoke hadharani akili kuteleza kama binadamu na kwa mfumo wa kisiasa. Aliwahi kusema maneno mazito na mabàya sana kwa watu ambayo naamini leo yanamtesa sana kuliko hata ccm yenyewe. Lakini haya pia ni matokeo ya aina ya malezi aliyopata mtu.
 
Boss uttoh2002 kama ni Wasaliti, Mbona bado wapo CCM? Watimueni, Simple like dat.

Mh Bashe:

Kwa ufahamu wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,

Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Mh Nape:

Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.

Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.

Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!
 
Nape ata tubu ivi karibuni na kutueleza bao la mkono unafungaje
 
Bashe amekuwa mtu wa kulalamika tu muda wote na ni mmoja wa watanzania wanaopandikiza chuki kati ya Serikali na Wananchi,anaposema alitekwa yeye,Musukuma,Malima na Nape,hivi anadhani anawaambia watoto wadogo wasiojua tafsiri ya kukamatwa na kutekwa? Naamini anahangaika tu hatoweza..!!
 
Nani sio muelewa hapo, kati yako na hao akina bashe na nape! Jitafakari, yakikukuta ndo utakuwa muelewa kuliko hata wao!
 
Kwa hiyo mleta post unachomaanisha ni kuwa ukiwa ndani ya CCM hata ukiona madudu ya kutisha yanafanywa na viongozi wakubwa serikalini, kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuwa kimya kama wimbo wa Diamond!?????

Kwa hiyo kwa maelezo yako mleta post ni kuwa kwa yeyote aliyeko CCM akitimiza wajibu wake wa kikatiba wa kuikosia serikali, kwa CCM itahesabika kuwa ni usaliti mkubwa!????
Wana vikao vyao vya ndani vya kuwekana sawa. Katika vikao hivyo wanaweza kushutumiana na kulumbana kwa kadri watakavyo hadi kufikia mwafaka. Wakitoka humo wanakuwa wamoja. Sasa mtu anayehamishia hayo malumbano na shutuma kwa wenzake hadharani au bungeni definately ni MSALITI. Vyama vya upinzani navyo hufanya hivyo hivyo. Kwa hiyo anachofanya Bashe na Nape si sahihi hata kidogo na lazima wana lao.
 
  • Thanks
Reactions: mop
Mh Bashe:

Kwa ufahamu wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,

Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Mh Nape:

Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.

Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.

Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!
Woga wako ndio umaskini wako..
 
Kwa punguani kama wewe utaniona mimi ni mnafiki lakini wewe unayepigia debe wahuni, mafisadi, wezi, majangili, na huyu dikteta uchwara shilawaDU si mnafiki. Mpumbavu kweli wewe! Kuwa na wananchi mapunguani kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.

Wee jamaa mnafiki sana ila kuna uwezekano haujitambui kama ni mnafiki hivyo Mungu anaweza akakusamehe!
 
Back
Top Bottom