Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

Kukosoa chama chako au authority sio usaliti kama unavyosema.

Inawezekana kuna mambo wanayaona hayako sawa ndani ya chama na labda yatakuja kuwa na madhara hapo baadae. Hivyo kwa uzalendo wao na mapenzi yao kwa chama hawataki yaendelee.

Ila upande wa kuwa ukweli utawagharimu ikiwezekana hata uhai wao ni kweli.
 
Mpambanaji hasalimu amri kiurahisi. Mpambanaji hupambana kwaajili ya kile anachoamini ni sahihi.

Kwa nini ufikirie kuwa wanatakiwa kutoka? Kwani wao ni wa kuja ndani ya chama? Hivi hujui kuna authority ziliwahi kuangushwa? Ziliangushwa na nani? Kwa vyovyote ukweli ni kuwa authorities ambazo huanguka, zinaangushwa na wapamabanaji, wa ndani au nje, kwa mifumo ambayo ipo kisheria na kikanuni au nje.

Uliowataja wanaweza kupambana ndani ya chama kwa mifumo iliyopo ndani ya CCM au nje. Mshindi ni yule atakayeweza kuwa na ushawishi mkubwa. Lakini ukweli ni kuwa katika kupambana kuna kushinda na kushindwa pia.

Ni ngumu sana kwa wapinzani kupambana na Rais maana watakuwa wanapambana na dola, watakuwa wanapambana na serikali yenye nguvu zote. Lakini wana CCM wanapambana na Mwenyekiti wao ambaye hana mgambo wala polisi.
 
Sasa kama akina polepole na kujidai wapo serious (in mizegwe's P face) still warirudi wazima wazima chamani sasa nyiiiiiiiiii, ufyatileeee umkia wako.
Unategemea nini??
 
Dawa ni kuiua CCM kabla haijaua watanzania kwa kuopa kuwa chama cha upinzani.
 
Kwa hiyo mleta post unachomaanisha ni kuwa ukiwa ndani ya CCM hata ukiona madudu ya kutisha yanafanywa na viongozi wakubwa serikalini, kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuwa kimya kama wimbo wa Diamond!?????

Kwa hiyo kwa maelezo yako mleta post ni kuwa kwa yeyote aliyeko CCM akitimiza wajibu wake wa kikatiba wa kuikosia serikali, kwa CCM itahesabika kuwa ni usaliti mkubwa!????

Mchangiaji hapo juu umeongea mawazo yangu....it makes me wonder....uongozi hautakiwi kukosolewa[emoji848][emoji848]??? Sio kwenye nchi ya kidemocrasia .jamani hizi sio zama za wafalme.
 
Shida ya watu humu wanadhani kila ukisema CCM ina watu wameoza wote si kweli.hata huko CHADEMA au CUF au chama na kundi lolote kuna waliyooza sana tu. katika chama wema na wabaya utawapata.si ni watu?siyo malaika.sasa Bashe kuongea vile wanakuja watu na kumuona kama ni mpinzani.nani aliwadanganya kua ukiwa mpinzani ndo umekua msafi?upinzani huu uliopo hapa nchini si ni wakibiashara tu?kwenye kundi liwe la chama,dini,na chochote kile ilimladi ni kundi la watu lazima utapata wema na wabaya.wenye kujua na wasiyojua,wenye kupritend na wenye kuongea wazi.
 
Alie msaliti babake hawezi kuacha usaliti kwa wengine vyama vya upinzani vinaweza kuona kama ccm wanawaonea na wakawachukua lakini ile roho ya usaliti ikahamia kwao na bila kujua nini cha kufanya wakawa na mgogoro utakao inufaisha tena ccm
 
Mh Bashe:

Kwa ufaham wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,

Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Mh Nape:

Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.

Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.

Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!
Kwani wewe ni nani ambae umejivika u Mungu wa kuadhibu!! Kama mambo yatajadiliwa, iwe kamati kuu, Nec, basi Nape ana nafasi ya kusikilizwa. Kama wewe ni mwenyekiti, basi najua umeshafanya maamizi ya kumfukuza, na utafukuza wengi.
 
Bashe na Nape msikae kimya vijana Wa Uvccm tupo pamoja nanyi
 
Chini ya nape ccm pamoja na mabao ya mkono ilipata 52% ya kura
 
Mh Bashe:

Kwa ufahamu wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,

Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Mh Nape:

Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.

Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.

Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Wewe unaamini vita lazima uwe nje? Fikiria nje ya box! After all ili kufanyikiwa jambo lolote lazima pawe na mgongano wa mawazo! Swala la ndio mzee haliwezi kutufikisha popote!!
 
Waache waendelee kukibomoa hicho chama cha majambazi wakiwa hukohuko ndani, ni rahisi kufanya uhalibifu mkubwa ukiwa ndani kuliko ukiwa nje
Labda ikiwa CCM ni laini kama biskuti. Tembea Afrika na dunia nzima uliza uimara wa CCM utaambiwa.
 
Uttoh habari za siku?Vipi maandalizi ya Pasaka? Kwa maneno mengine tunaweza kusema wanachokifanya hawa wawili ni sawa na "insubordination"au?
 
Uttoh habari za siku?Vipi maandalizi ya Pasaka? Kwa maneno mengine tunaweza kusema wanachokifanya hawa wawili ni sawa na "insubordination"au?

Kaka Kasongo, nimetoa maoni yangu, ila hicho Kizungu Kaka, Mh, Hata sijakielewa.....
 
The only thing a real man is supposed to fear most in his life is fear itself
 
Mmoja atamfuata lowassa na mwingine atamfuata Membe!!!akienda kwa lowassa no threat at all!!akienda kwa membe no threat at all!!!system is already established!!!
Wote wakienda kwa lowassa there is no threat at all!!lakini niwashauri tu eidha wanyamaze au waondoke waache chama chetu!!chama siyo Bashe au Nape au mtu yeyote!!!chama ni wananchi!!they are loosing displine!!! Ukitaka kumshauri kocher mfuate officine kwake siyo kuropoka mbele ya wachezaji!!
 
Back
Top Bottom