Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

Mh Bashe:

Kwa ufahamu wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,

Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Mh Nape:

Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.

Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.

Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!
Huu mwandiko kama vile wa Pole Pole au Bashite Makonda
 
Ila Nape sio wa kufananishwa na Bashe hata kdg, Nape ni ndumi la kuwili na mtu asieaminika hata kdg, kumbukeni alivyofurahia kuua uhuru wa vyombo vya habari na matangazo ya live toka bungeni! Alikuwa akijisifu ana weledi sana hasa alipofungia gazeti. Hebu aulizwe AMEIFANYIA NINI NCHI HII HADI ATAKE KUONEKANA SHUJAA? HANA LOLOTE LA KUJIVUNIA ACHA MA-CCM WENZAKE WAFE NAE ILA HANA JIPYA, KWANGU BASHE NI SHUJAA ANAESIMAMA KTK UKWELI SIKU ZOTE NA SIO MNAFIKI KAMA MWENZIE
 
Magufuli ana kazi nzito ya kupambana na upinzani ndani ya chama na wakati huo huo anapambana na wapinzani walioko nje ya chama. Haikuwahi kutokea kwa JK.
 
Mh Rais, mpuuze Nape kwa kutomjibu chochote. yeye si anafikiri ccm haitavuka 2020 bila yeye. Sasa wewe piga kazi usimpe cheo chochote mpaka 2020, wananchi wanaelewa unafanya nini na kwenye huo uchaguzi nakuhakikishia utashinda kwa kishindo. Baada ya hapo tuone Nape atasema nini. Ukimjibu saizi atajua umesurrender, na atakufanya miaka yote iliyobaki utaendeshe nchi kwa kuogopa. Anachofanya sasa ni kukujengea fear, usimpe hiyo nafasi.
 
Thomas sankara, Patrice Emilio Lumumba,Eduardo Modline ,John Savimbi .....abd so of the like walikuwa na umri gan wakat wanalilia mabadiriko ...? Tunaposema tunataka vijana wajenge Taifa Tunamaana Ya vijana Gan wa chadema tu ? wasomi vYuoni tu ? wale wakulima kantungululuu au wale wa ngende ?
 
Katika mfumo wa kibunge wa Westminster ambao sisi tunafuata kuna kitu kinaitwa BACKBENCHER. Ni sehemu ya mfumo huo.

And I excerpt...

In Westminster parliamentary systems, a backbencher is a Member of Parliament (MP) or a legislator who holds no governmental office and is not a frontbench spokesperson in the Opposition, being instead simply a member of the "rank and file".

In addition, since backbenchers generally form the vast majority of the number of MPs, collectively they can sometimes exercise considerable power especially in cases where the policies of the government are unpopular or when a governing party is internally split.

Messrs Bashe and Nape are officially backbenchers.
In the parliament though!
 
sasa umeandika ujinga gani, yaani authority ikiwa wrong isiambiwe duuu hapo ndo nimeona uko upande wa mzee kipara. unatoa ushauri kinafiki
 
Mh Bashe:

Kwa ufahamu wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,

Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Mh Nape:

Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.

Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.

Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!
Inaonekana wanatamani kutoka CCM, ila wanafanya vituko ili wafukuzwe na waondoke kama mashujaa, hiyo haitawasaidia sana, wataendelea kuwepo hadi ukomo wa ubunge wao, hata CHADEMA pia walisumbuliwa sana na John Shibuda lakini walimvumilia sana hadi ulipofika ukomo wa ubunge wake.
 
Ukiambiwa utaje kipi kibaya bashe alichokifanya huwezi taja hata kimoja sipo upande wa nape ila bashe nitamtetea hadi mwisho kwani hamna kibaya chochote alichokifanya
 
Nape: servant leader, servant leader. Nenda kasome servant leader. Authority, authority, authority. A bad authority, is wrong leadership. Acha kufikiri kwa kutumia tumbo lako, watanzania tunataka servant leader siyo dictator, tunataka transformational leadership na siyo transactional leadership.
 
Mmoja atamfuata lowassa na mwingine atamfuata Membe!!!akienda kwa lowassa no threat at all!!akienda kwa membe no threat at all!!!system is already established!!!
Wote wakienda kwa lowassa there is no threat at all!!lakini niwashauri tu eidha wanyamaze au waondoke waache chama chetu!!chama siyo Bashe au Nape au mtu yeyote!!!chama ni wananchi!!they are loosing displine!!! Ukitaka kumshauri kocher mfuate officine kwake siyo kuropoka mbele ya wachezaji!!
Asante na ndiyo misingi ya office yoyote cyo kutafuta nguvu ya wananchi kwan MTU ukiwa waziri kama kuna tatizo c unarekebisha mkiwa bdani ya baraza LA mawaziri cyo kutafuta kick huku dunian
 
Mwalimu alisema anataka taifa la vijana wanaohoji
 
sasa umeandika ujinga gani, yaani authority ikiwa wrong isiambiwe duuu hapo ndo nimeona uko upande wa mzee kipara. unatoa ushauri kinafiki
Tumia sehemu sahihi kuiambia mitandao ya kijamii cyo sehemu sahihi
 
Hii nchi kuendelea sio rahisi kama fikra ndio hizi...dhana ya siasa imepotoshwa kabiisa.
 
Nape: servant leader, servant leader. Nenda kasome servant leader. Authority, authority, authority. A bad authority, is wrong leadership. Acha kufikiri kwa kutumia tumbo lako, watanzania tunataka servant leader siyo dictator, tunataka transformational leadership na siyo transactional leadership.
Nakumbuka mwaka 2015 watu walisema wanataka Rais dictator moyo wangu umeridhika asingekuwa huyu unadhan nani angevaa viatu vyake Mungu amlinde na ampe maisha marefu na siku akimaliza muda wake tutammisi sana huyu maana atakuwa kaweka nidhamu tayari na wote mtakuwa tayari kutawalika
 
Mh Bashe:

Kwa ufahamu wa kila mtu, unajua kuwa wewe ni mpinzani wa CCM, na kwa sehemu umekuwa msaliti wa CCM (Msaliti ni mtu anayeenda kinyume na utaratibu ... deliberately rejection of authority) Hii haijalishi whether authority inakosea au aikosei, Hivi mnafikiri, Mh Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawasikiti na yanayoendelea? wao kunyamaza sio wajinga hata kidogo.,

Sasa Mh Bashe, kama waona CCM haikufai kwa nini unajibana huko ndani na kuimba mapambio uonewe huruma? unafikiri utaonewa huruma? yani mimi nimekuwa nakusikiliza weeeeee mpaka sasa nakuona kama una matatizo. Mwanaume na mtu shujaa na mwenye msimamo ni yule ambaye haangalii maslahi yake na kufanya uchaguzi sahihi. Maamuzi sahii huwa yanatangulia then gharama. Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!

Mh Nape:

Kwanza hongera sana kwa misimamo sahihi ambayo umeionyesha. Mimi personally nilifurahi kwamba bado tuna watu wanaoweza kusimamia ukweli. Pole maana ukweli ulikugharimu, Pole sana, na ukweli siku zote waweza kukugharimu, Mungu aepushia mbali waweza hata kukugharimu maisha kwa Bahati mbaya.

Mh Nape hapa ndio mahali ambapo sikuelewi. Mh Rais clearly ameonyesha kwamba haitaji ushauri wa mtu. Mh Rais kwa kuwa na ujasiri wa kukutoa kwenye uwaziri sababu ulifanya kitu sahihi (Kitu ambacho mpaka leo ni kama sikiamini), hili lipo wazi kwamba rais will not let anyone stands on his way.

Sasa unapoenda Jimboni kujieleza na kuanza kumshauri Rais kwa kumshambulia, UNAFIKIRI YEYE HAELEWI UNAPOMSIFIA KI UONGO KAMA MTOTO ANAYEBEMBELEZWA ANYWE UJI?, unafikiri rais hajui the right thing to do? au mazingira yanamzuia? huku ni ku rebel against authority, regardless authority ipo right or wrong, this is authority. Kwa nini unajilazimisha kukaa mahali ambapo una rebel? Kama CCM watakuchukulia hatua yeyote ya kukuumiza, ni SAHIHI KABISA. Kwa nini usitoke kwa kujipanga kuliko kutolewa kwa surprise? IT COMES!
Fuatilia vizuri historia na maisha ya Mh. Nape kisiasa utagundua kuwa hii sio mara ya kwanza kwa Nape kupata heavy blows kwani huko nyuma aliwahikufanyiwa figisu kupitia UVCCM hadi kutupwa kabisa nje ya ulingo wa siasa za ndani ya CCM mpaka pale M/kiti wa wakati huo Mh.Kikwete kwa kushauriwa na wazee alipoingilia kati na kuokoa jahazi na kumpa U-DC, kutoka hapo jamaa alisimama kidete bila KUKIMBIA chama hadi akajikuta amerudi tena ktk mainstream na kuwa Katibu wa Itikadi na uenezi nafasi ya juu kabisa iliyompa fursa ya kuingia ktk forums za juu kabisa za kimaamuzi ndani ya CCM na Taifa kwa ujumla, hapo ndipo alipopata tena fursa ya kuchangia kuleta mageuzi ndani ya chama kwa kupitia harakati za VUA GAMBA alizochangia kiasi kikubwa kuziasisi na vilevile hapo ndipo alipopata nafasi hata ya kuwashughurikia maadui zake kisiasa akiwemo mzee Lowasa, Rostam, Guninita nk. Amini usiamini mmoja kati ya watu waliomkabili vilivyo na kumpa wakati mgumu Mh.Lowasa na genge lake (hata M/kiti Kikwete aliwashindwa) ndani ya CCM hadi kudhoofisha harakati na ndoto za Mzee Lowasa ktk mbio za U-raisi ni pamoja na Nape. Hivyo binafsi naunga mkono hoja zako ktk maeneo mengine lakini hoja ya kumshauri atoke ndani ya CCM ni kumpotezea fursa muhimu,( PLATFORM for strong voice)," Since in African political spheres One can not avoid to risk even his own life". Naamini kuwa haya yote Mh.Nape anayajua vizuri sana maana huyu jamaa naye ni BINGWA wa siasa ziwe zile safi au zile za FITINA. Sasa, true mazingira yamebadilika lakini pia historia inatabia ya kujirudia.
 
Mkuu kizazi hiki sii cha kuambiwa ongea hili acha lile waache waongee sisi wananchi tutapima na tutajua msema ukweli ni nani.
 
Kuna njia mbili tu za kutatua tatizo
1 kulikimbia tatizo
2 kulifuata tatizo
 
Back
Top Bottom