Nape Nnauye, kujiuzulu ni uungwana


Mwita25

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,839
Likes
24
Points
0
Mwita25

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,839 24 0
Hivi kila siku ni kujadili CCM tu nyie magwanda?
 
Arafat

Arafat

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2009
Messages
2,582
Likes
48
Points
0
Arafat

Arafat

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2009
2,582 48 0
Ukiwa kijana uliyeonyesha uwezo wa kuwa mwanasiasa. [...] Kijana Nape najua unamatumaini makubwa sana ya kisiasa na kukwea ngazi kufikia ubunge, waziri hata juu zaidi. Ila kaka yangu ulipofikia sasa inabidi utumie busara na hekima kuamua. [..] ulienda mbali zaidi na kusema wana siku tisini lazima wajivue gamba au chama kitawavua magamba. [...] kauli hizi zilipingwa na Mukama mbele ya vyombo vya habari kuwa hakuna swala la siku tisini. [...] Kikao cha kamti kilichokaa juzi juzi inasemakana kilikupiga marufuku usihudhurie kampeni za Igunga kitu ambacho kwa tafsiri yangu nina amini kwani mpaka sasa hujahudhuria kampeni yeyote Igunga hata ile ya ufunguzi ikizingatiwe hapo ndio pangekuwa mahala pako. [...] ulikazwa usiende Igunga ili gamba mlilokuwa mnalipigia kelele liweze kuchukua nafasi yenu nyite kuwasaidia kushinda uchaguzi mliosema mnafukuza mafisadi wanaoharibu taswira ya chama mbele ya jamii. Je ni jamii ipi tena wakati hao hao ndio mnawahitaji mnapoona hamyawezi?????

Ndugu Nape ulisema chama ni zaidi ya mtu na mtu hawezi kuwa maarafu kuliko chama. je bado unaona vita vya kutoa magamba vipo? [...] Nape huoni wenzako wamekusaliti ....

Nape Nnauye kama mimi ningekuwa wewe ningejiuzulu wadhifa wangu huo kwani ni kazi ya kinafiki na isiyotekelezeka, kupewa maagizo ya kinafiki na majukumu ya uongo ni unafiki mkubwa sana. [...] wamejua huna jinsi ya kupata mkate wamekutumia kama dodoki sasa wanakucheka ujinga. Leo wanamhitaji Rostam kuliko wewe kesho watamhitaji Chenge Mwanza kuliko wewe kesho watamhitaji E lowasa Arusha kuliko wewe kesho kutwa watamhitaji Manji kuliko wewe, wewe utangojea kutumwa tu pale wasipotaka kuharibu urafiki wao. Hapo ndipo elimu na uelewa binafsi unapohitajika unapigania nini??

Mambo kama haya ndio chanzo cha vijana wengi makini kuamua kuachana na CCM na kujiunga na vyama vya upinzani. Ni heri kufa masikini na kulinda utu na uelewa wangu kuliko kudhalilisha utu wangu kwa kibaba cha mchele.

Kwa kumpandisha Gamba ambalo mnalia nalo na kukushusha wewe huhitaji miujiza mingine zaidi ya kujua unatumika kama kifuu.

Akili ni nyele kila mtu ana zake. Ukistaabu ya musa utaona ya firauni. Muungwana ni vitendo.

Viongozi makini hutoa maamuzi makini
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....

Hilo jibu ni kidhibitisho tosha kuwa akili nywele kila mtu ana zake.
 
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
Mkuu ungekuwa muungwana zaidi ukijibu hoja kwa hoja na si kwa vijembe!!!!!!!!!!!! Kumbuka kuna watu walikuwa convinced kubaki au kuhamia CCM na wewe binafsi. Sasa uongozi huwa haupimwi wakati kila kitu ni shwari. Uongozi unapimwa katika mazingira kama haya!!!! And I am sure kwa watu walio karibu na wewe na wasiopenda unafiki watakuwa wamekueleza kama ilivyo hoja kwenye thread hii.

I would have expected unganza kwa kusema say Sijiuzulu ng'o na sababu ni kama zifuatazo.......... Au say ukajibu hata kisiasa kwamba unaipima hoja iliyoko mezani. Lakini kwa vijembe yaani mnakuwa walewale kama akina Mzee Makamba. Kumbuka haya ni maandishi na itakuwa vema basi say hata miaka 20 ijayo uje kuwa proud of ur response na maandishi yako.
 
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2008
Messages
7,494
Likes
104
Points
160
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2008
7,494 104 160
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
Matarajio ya watu kwako yalikuwa makubwa mno au hawakuwa wanakufahamu vizuri. Wanasahau mazingira unamofanyia kazi. Kwa baadhi yetu tulijua hili DUDE CCM la sasa hauna la kufanya angalau kwa sasa.
 
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,893
Likes
39
Points
0
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,893 39 0
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
nape uongo ni mbaya ukiwa unadanganya watu ila ni mbaya zaidi unapojidanganya mwenyewe.
jitafakari upya kaka.
 
Sabung'ori

Sabung'ori

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,097
Likes
214
Points
160
Sabung'ori

Sabung'ori

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,097 214 160
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
<br />
<br />
...wewe uhatukoseshi usingizi coz sisi hatujalala na hatolala mpaka kieleweke...kama unauwezo wa kukosesha mtu usingizi basi anza na Wassira
 
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
3,149
Likes
19
Points
135
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
3,149 19 135
Sasa hilo gamba ndio lulu. Duuh
 
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
3,149
Likes
19
Points
135
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
3,149 19 135
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
Yaani wewe umeonekana hufai kupiga kampeni kule Igunga, Heri ya kile ulichokiita gamba. Kaa chini, tafakari, chukua hatua.
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Likes
15
Points
135
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 15 135
kweli ndugu kilichoongelewa hakipingiki lakini kwakuwa natamaa ya madaraka nape hawezi kuachia ngazi wezake wanamcheka maana anatumika vimbaya ndio matokeo ya kutojua au kutumiwa na watu wanaokufanya mjinga lakini wao wanajuana
 
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
632
Likes
34
Points
45
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
632 34 45
Hakika Nape kanasa kwenye tope ambalo ni vijana wengi Wadanganyika wamenaswa maana wengi kutokana umasikini na kutokuwa na fikra pevu wamejiingiza kwenye lindi la kukubali kutumiwa na Wanyonyaji weusi tulionao nyakati hizi ambao mimi nawafananisha na Mbwa mwitu. Nape kama kweli alikuwa na nia ya dhati kutoka moyoni mwake kwa ajili ya kuikomboa nchi hii kutoka kwenye mikono ya wanyonyaji na wapiraji wetu sasa hivi angekuwa yuko nje ya Chama cha Magamba siku nyingi ni mara ngapi KT Makamba alimtukana lakini aling'ang'ania kwa sababu yeye pia siyo mtu anayejali utu wa mtu wala utu wake mwenyewe.

Kimtazamo ubnaweza kumuona ni kijana msomi, mpambanaji lakini kiundani ni walewale WANAFIKI WAKUBWA WANAOTUMIA UMASIKINI WA WATANZANIA KUJIIMARISHA WAO NA WATOTO WAO BILA KUJALI KIPI KINATOKEA KESHO. Ni mara ngapi tumeona na kusikia viongozi wetu vipofu waporaji wakibezwa, au kupingwa kwa yale wanayo yaamini lakini bado wapo madarakani mfano Pombe Magufuri mmmmh atamwachia nani tumbo?

Je unaweza kuionyesha jamii hii ya Watanzania kiongozi aliyebaki japo na utu toka chama hiki kikongwe chenye kila ghiriba, kilichojaa siasa za unafiki chuki na mambo mengi kedekede. Wote ni wanafiki wako kimaslahi zaidi.
 
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
632
Likes
34
Points
45
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
632 34 45
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
Sidhani kama kuna mtu unamkosesha usingizi labda abnayekutumia maana akimaliza kukutumia anajisahau kwamba time zimeenda leo kakutenda hivi kesho anakutuma ulopokee nawe kwa vile uko kimaslahi kama chama chenyewe kilivyo kimaslahi zaidi. Kwa vile hujawahi kuwa na busara sisubiri wala siwazii kuwa unaweza tema donge lililopo mdomoni mwako ili iweje ushindwe kwenda choo mmmh, kwa faida ya nani na ili iweje??
Je kwani watanzania hatujui kuwa wahenga walisema Mtumikie kafiri upate ujira........ sindiyo nawe pia unatumika kama kopo kila aingiaye anatumia
 
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
632
Likes
34
Points
45
lutamyo

lutamyo

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
632 34 45
<br />
<br />
...wewe uhatukoseshi usingizi coz sisi hatujalala na hatolala mpaka kieleweke...kama unauwezo wa kukosesha mtu usingizi basi anza na Wassira
Hana ubavu wa kuthubutu kambiwa ana kiburi jeuri asiye sikia na mengine mengi.................... yote hii ni njaa tu kama alivyo Wasira dume la nyani njaaaaa zinapoteza utu na umakini kweli njaa mbaya AISEEEE ULEVI NOMA HASA UKIWA WA MADARAKA
 
S

sweya

New Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
3
Likes
0
Points
0
Age
31
S

sweya

New Member
Joined Sep 15, 2011
3 0 0
jamani ccm sasa chali mana hadi ma DC wanaacha kazi za taifa nakuingia kwenye siasa inamana mkapa hatoshi? Au mambo magumu huko Igunga jamani nisaidieni ndugu zangu mana me nipo nyuma ya pazia.
 
C

Capitalist

Senior Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
165
Likes
13
Points
0
Age
36
C

Capitalist

Senior Member
Joined Feb 3, 2011
165 13 0
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
POLE SANA KIJANA NAPE, JAKAYA NI ZAIDI YA UMUJUAVYO,KAMUULIZE LOWASA. Umeingizwa mkenge utaachwa kwenye Mabalubu.
 
Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Messages
3,487
Likes
8
Points
135
Duble Chris

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined May 28, 2011
3,487 8 135
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi...
Hapo kwenye Red:
  • hukujua kitu gani ?
  • unawakosesha usingizi watu gani ? [ wapinzani au CCM wenzako ]
  • sasa baada ya kujua utachukua hatua gani ?
 
M

mpigilie

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
311
Likes
10
Points
35
M

mpigilie

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
311 10 35
Sikujua NAKIRI SIKUJUA KAMA NAWAKOSESHA USINGizi kiasi hichi....
Nafikiri unatusaidia kukesha kwasababu hakuna atakayelala mpaka 2015 kitakapoeleweka.
Baada ya uchaguzi ntalalaaaaaa weeeeeee, ntalala ntalala ntalala, yani nakwambia ntalala...
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,426
Likes
3,481
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,426 3,481 280
Ilikuwa ni zamu ya Makamba, sasa tuna kihiyo mwingine Nape. Kwa style hii ccm itafika kweli?
 
JIULIZE KWANZA

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
2,572
Likes
2
Points
0
JIULIZE KWANZA

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
2,572 2 0
Nyerere hakuwa **** kusema ccm sio baba yake wala mama yake ila nape yuko kimaslahi jamani hawezi kujiuzulu mpaka aongeze sheli za kumtosha labda na wala hana uwezo wa kiakili wa kuchambua ushauri wa chief jamani


Nape kunamaisha nje ya ccm,ingawa umeshachafuka tena zaidi ya Rostam,Chenge na Lowassa nashauri ujiengue mapema kabla hawaja kuvua ww. ujue hawakukutana barabarani,gamba ni wewe.
 

Forum statistics

Threads 1,238,197
Members 475,856
Posts 29,312,463