Labda kuisaidia police lakini sio kwa uchochezi.Sio mda tutasikia naye kakamatwa kwa tuhuma za uchohezi. Hakika ukikaa nje ya uwanja makosa ya wachezaji yanaonekana kwa macho mawili.
Vyovyote iwavyo, kwa akili za kawaida tu hatihitaji mpaka Lissu apone aje kusema, ila ukweli uko mioyoni mwetu.
"LISSU YUKO HAI NA ATAENDELEA KUWA HAI KWA NGUVU ZA MUNGU"
Taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwatambua wauwaji.