Nape Nnauye: Gari lililotumika kumshambulia Lissu limewahi kuripotiwa kuwa linawafuatilia baadhi ya wabunge

Huyo mgambo sio mzima yule.
Ni robot ya sizonje, remote inayomwendesha iko pale magogoni.

Analeta mzaha kwenye maisha ya watanzania.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inaweza kuwa hizo hutumika wakati wa kufanya matukio na kutolewa. Km jeshi halioni usajili wa namba hizo wewe unafikiri wafanye nini?

Mharifu si mtu wa hovyo km tunavyodhani, akifanya uharifu mchana kweupe ujue kuna vitu amevitega kwamba hutoweza mgundua...km alibadili namba inamaana hutoweza mshika. Kwakuwa hukuweza kumshika pale basi itakuchukua muda kumbaini.....

Tuwape muda, chamsingi ni kutoa taarifa km inavyotakiwa...usije ukaishia kupayuka jukwaani ukasahu kwenda kuripoti rasmi kituo cha police. Tusubiri...tuliamini jeshi letu...tuwe na subra.
 
Hapo ccm kambi ubabe roho zina wauma na kuwadunda, wakimsikia nape anavyoshuka beti,zinazogusa ugoko wa kiranja mkuu !.wanatama wammalize hata leo.hii siri itatoka tu,sio kila mtu anapendezwa na mauwaji yanayoendelea nchini sasa hivi,na uonevu wa wazi kwa baadhi ya wananchi,kwa ajili ya visasi na ubabe.hata baadhi ya ccm wasio wababe nao hawapendi Haya,na wengine wanapitia magumu tu kama sio ccm ! Tunao huku mitaani,wananuka choo tu,na hawana amani tu kama sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom