Nape Nnauye: CCM ni chama bora, siwezi kuhama!

Nape Nnauye: CCM ni chama bora, siwezi kuhama!

ujanja wa kuhama ccm hana kwani kwenye vyama vingine hakuna ulaji na ukikaa vibaya mkienda mahali ww ndio unanunulia chakula wanachama wenzako. Hivyo nguvu yake ipo ndani ya ccm hata kama itamshika makalio.
Huyu si aliwahi kuanzisha chama akuwa bado CCM? Huyu hatabiriki. Lakini na Mwakyembe watakuwa wanajuana.
 
HAHAHA aliitwa shujaa kila pembe humu..ila kwa kauli hii sasa hivi atakua ''mpuuzi na muoga nambari wani!'.
 
Nimemuelewa amesema kama ni kurekebisha,atarekebisha akiwa ndani,,,,,,NAJUA ATAMREKEBISHA MTU MDA SI MREFU.
 
sasa alikuwa analalama nini aliposhikiwa bastola?
Huyo aliyemtishia si alitumwa na watu wa chama chake!
Kumbe hajui anachofanya! Tangu lini Nape akawa shujaa! Huwezi kuwa ccm ukawa shujaa, niliwashangaa waliokuwa wanamtukuza! Alimgusa mpendwa wa rais akatumbuliwa! wana conflict na bashite ndiyo chanzo na si kuwa ni kuvamia kituo.
 
HAHAHA aliitwa shujaa kila pembe humu..ila kwa kauli hii sasa hivi atakua ''mpuuzi na muoga nambari wani!'.
he overreacted , sasa anajuta! anajaribu kurekebisha hali ya hewa iliyochafuka
 
sasa alikuwa analalama nini aliposhikiwa bastola?
Huyo aliyemtishia si alitumwa na watu wa chama chake!
Ww katka maisha yako umewahi kunyooshewa bastola?
Au unafikir ni sawa na unavyoiona kwenye movie za akina komandoo joni
 
Ww katka maisha yako umewahi kunyooshewa bastola?
Au unafikir ni sawa na unavyoiona kwenye movie za akina komandoo joni
Rudia kusoma utanielewa!
umeishia kusoma sentensi ya kwanza tu
 
JE WAKATI ULE APOTAKA KUHAMA YEYE NA KUNDI LAKE KUANZISHA CCJ, KWANI HIKI KILIKUWA CHAMA BOMU HADI AKATAMANI KUHAMA?????

AU WAKATI ULE WALIMUAHIDI KUGOMBEA URAIS KULE CCJ????

NA JUZI MBONA POVU LILIMTOKA PALE HOTELINI ALIPOZUILIWA KUFANYA MKUTANO????

MNAFIKI MKUBWA HUYU!!!!!
Kwani mkutano wake alitangaza kuhama ccm? Sindano imekulevya
 
he overreacted , sasa anajuta! anajaribu kurekebisha hali ya hewa iliyochafuka

inawezekana ni kweli mkuu.ila mimi huwa naamini na kuwaambia watu DONT YOU EVER TRUST A POLITICIAN!THEY DONT EVEN TRUST THEMSELVES! sasa wewe usiuze heshima nguvu zako kujifanya 'cheerleader' kwa hawa jamaa.ni sawa na kumuwekea dhamana mmasai,kesho unakuta kahama!
ni kanuni isioandikwa ya siasa....atakudanganya tu,atakusaliti tu some day,thamani yako ni pale tu unapocheza muziki anaopiga yeye!
ndo maana wakweli na watendaji halisi huishia kubatizwa tu 'dikteta','fashisti','mpinga demokrasia'.......siasa sio kwaajili ya watu wakweli kwa jamii na nafsi zao..
 
Mkuu umenichekesha sana......Afu ndio kwanza Wanacdaema WAMEANZA KUBADILISHA GIA nagani wanataka kumsimamisha LISSU 2020...wanajisahau ya kuwa KUNA MTU ANA HATI YA KUWA MGOMBEA wa urais WA MILELE....ni suala la muda tu...tutegemee kuona CHADEMA VIPANDE VIPANDE...
Kwa kweli
 
Aaah mkuu nape utakunywa sumu juu yake,unafikiri ungesemaje kinyume na hapo angeita kikao cha dharura,anajiamini mwenyekiti
 
Kwani mkutano wake alitangaza kuhama ccm? Sindano imekulevya
Povu lilikuwa la nini na uamuzi wa chama chako unauheshimu! Kuna ups and downs, angelinyamaza kama lowasa and the like! ( by the way, we binti acha maneno ya sindano, we sindano unaijua!)
 
Back
Top Bottom