Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,287
- 13,456
Hebu ithibitishie jf kwamba yule mtu aliletwa na chama chakeRudia kusoma utanielewa!
umeishia kusoma sentensi ya kwanza tu
Hebu ithibitishie jf kwamba yule mtu aliletwa na chama chakeRudia kusoma utanielewa!
umeishia kusoma sentensi ya kwanza tu
Maneno ya wana siasa mda wote yanabadilika kulingana na uhitaji wakeWakati huo atasema CCM siyo mama yangu wala baba yangu. Kuna raha yake kuwasikiliza wanasiasa!!
We umemshauri vizuri. Aache kuendelea kusema sema. Nina imani huko mbele watamfikiria. Akiendelea hivyo ataharibu...sasa ashaanza kusema hahami ccm ila atapambana akiwa ndani. Hii kauli inaweza kumponza. Kweli future yake iko kwenye kunyamaza.N
Nape mdogo wangu. Nzuri siyo chama bali ni watu. Watu wazuri na wapambanaji wapotolewa kwenye chama, chama hicho hakiweze kuendelea kuwa nzuri kama walipokuwapo hao watu wazuri na wapambanaji. Nafikiri umefanya sehemu yako. Keep low profile maana uliyoyafanya yamekujenga sana na yatakusaidia sana muda si mrefu. Usiendelee kuongea sana usije ukajikwaa kaka.
Akizungumza na Waziri Mwakyembe na watendaji wengine mjini Dodoma wakati akikabidhi Ofisi kwa Waziri mpya, Nape amesema, "Kwanza sina kinyongo na Rais na ningeomba watu wasinilishe maneno wala kufanya assumption zao. I am stronger than they think, nimelelewa humu ndani na ninazijua ups and downs."
"CCM ni chama Bora sana sana siwezi kutoka. Kwa sasa wanaowaza kuwa labda nitatoka wanapoteza muda. I fought for this party and hata kama yapo mambo ya kurekebisha siwezi kurekebisha nikiwa nje nitarekebisha nikiwa ndani. Kwahiyo I wish walielewe hilo ili tusipotezeane muda", alisema Nape.
"Pia nichukue nafasi hii kumshukuru Rais kwa muda niliofanya nae kazi kwa miezi 15."
"Dkt. Wizara nzuri sana hii, inagusa watu wote bila kujali profession zao. Changamoto kubwa ni sheria zilizopitwa na wakati. Tulijikita kuzibadilisha ziendane na wakati. Tulianza na Habari na tulikuwa tunaelekea kwenye michezo, sanaa n.k. Nadhani wewe Mwanasheria ukiliweza hili uatakuwa umesaidia wizara na nchi pia ili hata mtu mwingine akija baadaye akute misingi ya kisheria ya kufanya mambo"
![]()
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akabidhiwa ofisi na Waziri aliyepita Nape Nnauye mjini Dodoma leo.
Mkuu hayo ni maneno ya kulinda jimbo lake lakini 2020 huyo mbona anahama chamaHata Lowasa alisema hawezi kuhama CCM lakini now yupo Chadema, wanasiasa siyo watu wa kuamini sana.
[emoji2] [emoji2] chezea ccm weweujanja wa kuhama ccm hana kwani kwenye vyama vingine hakuna ulaji na ukikaa vibaya mkienda mahali ww ndio unanunulia chakula wanachama wenzako. Hivyo nguvu yake ipo ndani ya ccm hata kama itamshika makalio.
Labda nikuulize,yale matamshi aliyo yatoa pale protea hakuwa msaliti wa chama?Chadema bhana walikazana kumuita hero hero wakadhani atarowa sifa na kuhamia kwa wapiga salute ....mavi ya kunguru, bado naamini kuwa huyu jamaa sio wa kispotispoti ata kama ametofautiana na boss wake ila ni mtu wa misimamo isiyo yumba sio kama yule mzee white hair.
Akizungumza na Waziri Mwakyembe na watendaji wengine mjini Dodoma wakati akikabidhi Ofisi kwa Waziri mpya, Nape amesema, "Kwanza sina kinyongo na Rais na ningeomba watu wasinilishe maneno wala kufanya assumption zao. I am stronger than they think, nimelelewa humu ndani na ninazijua ups and downs."
"CCM ni chama Bora sana sana siwezi kutoka. Kwa sasa wanaowaza kuwa labda nitatoka wanapoteza muda. I fought for this party and hata kama yapo mambo ya kurekebisha siwezi kurekebisha nikiwa nje nitarekebisha nikiwa ndani. Kwahiyo I wish walielewe hilo ili tusipotezeane muda", alisema Nape.
"Pia nichukue nafasi hii kumshukuru Rais kwa muda niliofanya nae kazi kwa miezi 15."
"Dkt. Wizara nzuri sana hii, inagusa watu wote bila kujali profession zao. Changamoto kubwa ni sheria zilizopitwa na wakati. Tulijikita kuzibadilisha ziendane na wakati. Tulianza na Habari na tulikuwa tunaelekea kwenye michezo, sanaa n.k. Nadhani wewe Mwanasheria ukiliweza hili uatakuwa umesaidia wizara na nchi pia ili hata mtu mwingine akija baadaye akute misingi ya kisheria ya kufanya mambo"
![]()
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akabidhiwa ofisi na Waziri aliyepita Nape Nnauye mjini Dodoma leo.
Kwa hili,mashabiki mlie tu !sasa alikuwa analalama nini aliposhikiwa bastola?
Huyo aliyemtishia si alitumwa na watu wa chama chake!
ujuwaji wa kuhama hana,hata Magu akisema awe analambwa mboko kila asubuhi atakubaliNi wajanja sana hawa watu
Kweli mkuuMkuu hayo ni maneno ya kulinda jimbo lake lakini 2020 huyo mbona anahama chama
Kazi kweliujuwaji wa kuhama hana,hata Magu akisema awe analambwa mboko kila asubuhi atakubali
Zitto alisema atakuwa wa mwisho kuhama chadema, yaani aanze Mbowe, aje mwingine na mwingine mpaka mwanachama wa mwisho wa huko Kolomije atoke ndipo Zitto ahame chadema.Hata Zitto alisema hawezi kuhama.
Sawa kamandaZitto alisema atakuwa wa mwisho kuhama chadema, yaani aanze Mbowe, aje mwingine na mwingine mpaka mwanachama wa mwisho wa huko Kolomije atoke ndipo Zitto ahame chadema.