Nape Nnauye: CCM ni chama bora, siwezi kuhama!

Nape Nnauye: CCM ni chama bora, siwezi kuhama!

Chadema bhana walikazana kumuita hero hero wakadhani atarowa sifa na kuhamia kwa wapiga salute ....mavi ya kunguru, bado naamini kuwa huyu jamaa sio wa kispotispoti ata kama ametofautiana na boss wake ila ni mtu wa misimamo isiyo yumba sio kama yule mzee white hair.
Mwache abaki huko siku akifyatulia risasi ndo atafunguka
 
Ninachoelewa, ni kuwa " Kuwa mwanasiasa, ni lazima uwe mnafiki"
Tena wa kuaminisha watu kuwa rangi nyekundu ni nyeupe.

Japo, huyo ameona waliohama chama chake wanachofanywa mara wako mahakamani, mashamba yao yanachukuliwa na figisu figisu kibao.

Kwa hiyo, yeye ameisha soma alama za nyakati kuwa siyo zile za JK. Kama anahitaji kuhama chama atahama labda nyakati za JPM zikimalizika, ila kwa sasa kuhama chama awamu hii ni sawa na kujizika ukiwa hai.

Yangu ni hayo.
 
Namkalili JF. member mmoja alisema hivi mwanasiasa anachosema kweli ni jina lake tuu. Ila nimegundua wanasiasa tunaofahamu wana majina ya wizi kama Albert Bashite na akina Nchemba na wengine tukitaja kutakucha. nanyamaza sababu naogopa jela uzeeni.
Mkuu umeniongozea Siku, ni kwel wanasiasa wanachosema kwel ni jina pekee... Aseee.....
 
Kishindo cha utenguzi wa Nape nilijua kitavuma kwa muda mrefu ila nashangaa kimesikika muda mfupi na kinapotea kwa kasi
 
Ni chama gani kilimshawishi ajiunge nacho? Hizi ni politique tu. Nani amkaribishe MTU mwenye mitusi anayeongea bila staha? Watu walimshabikia tu kwa hilo tukio la kujaribu kuvilaani vitendo viovu vya huyo Mtoto kipenzi. Nani amwamini mtu mzushi? Anapima akili za watu tu. Ahame aende wapi wakati kuishi kwake ni hizo siasa za maji taka?
 
Acha wafu wazikane. Ccm nacho chama? AENDE WAPI? CCM KWA UFISAD NAMBA 1
UNAFIKIRI ZILE MILION 10 KILA MBUNGE KUSAIN MKATABA WA KIDHALIMU WA VYOMBO VYA HABARI ULIKUWA MCHEZO MCHEZO?
PESA ZA VIJANA KUWAAJIRIWA NDIYO WANAKULA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAJAMBAZI. UKIWA CCM UFISADI NA RUSHWA NJE NJE HUKO AKITOKA CHAMA CHA MAJAMBAZI HAWEZI KULA SBB HUKO HAKI INATAWALA DAIMA
LKN UKIWA CCM, PESA IPO. WATADHULUMU MASIKINI ILI WALE KM SASA HIV PESA ZA KUAJIRI VIJANA NDIYO WANATESEA. CCM HATA UKIWA NA VYETI FEKI WW NI MCHAPAKAZI TU
Umenena mkuu huko kwingine CV ya ukweli ni muhimu. Mambo ya kutumia vyeti feki hakuna. Huko nyuma watu waliwahi kuhoji CV yake baada ya kuona ina ukakasi kama ya Bashite
 


Akizungumza na Waziri Mwakyembe na watendaji wengine mjini Dodoma wakati akikabidhi Ofisi kwa Waziri mpya, Nape amesema, "Kwanza sina kinyongo na Rais na ningeomba watu wasinilishe maneno wala kufanya assumption zao. I am stronger than they think, nimelelewa humu ndani na ninazijua ups and downs."

"CCM ni chama Bora sana sana siwezi kutoka. Kwa sasa wanaowaza kuwa labda nitatoka wanapoteza muda. I fought for this party and hata kama yapo mambo ya kurekebisha siwezi kurekebisha nikiwa nje nitarekebisha nikiwa ndani. Kwahiyo I wish walielewe hilo ili tusipotezeane muda", alisema Nape.

"Pia nichukue nafasi hii kumshukuru Rais kwa muda niliofanya nae kazi kwa miezi 15."

"Dkt. Wizara nzuri sana hii, inagusa watu wote bila kujali profession zao. Changamoto kubwa ni sheria zilizopitwa na wakati. Tulijikita kuzibadilisha ziendane na wakati. Tulianza na Habari na tulikuwa tunaelekea kwenye michezo, sanaa n.k. Nadhani wewe Mwanasheria ukiliweza hili uatakuwa umesaidia wizara na nchi pia ili hata mtu mwingine akija baadaye akute misingi ya kisheria ya kufanya mambo"
a4b9396db4a360314bd106e51a22ee5d.jpg

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akabidhiwa ofisi na Waziri aliyepita Nape Nnauye mjini Dodoma leo.

Katoka Lowassa, Kingunge, Sophia Simba, Madabida et al itakuwa NAPE? .... Swala la muda tu! Hata Nyerere angekuwa hai ungekuta ashaondoka zamani ... Hii CCM ya akina HP na DB aka PM siyo CCM ile iliyotulea ... Mtasubiri sana
 
yale majigambo alikikuta ccm kiko hoi yameishia wapi yeye kama mwanasiasa anajiamini aende vyama kama act halafu avipandishe chat ndio ajisifu ccm ilikuwepo kabla ya yeye hata kufikiriwa kuzaliwa hivyo lazima akiheshimu
 
Katoka Lowassa, Kingunge, Sophia Simba, Madabida et al itakuwa NAPE? .... Swala la muda tu! Hata Nyerere angekuwa hai ungekuta ashaondoka zamani ... Hii CCM ya akina HP na DB aka PM siyo CCM ile iliyotulea ... Mtasubiri sana
Kwa sasa ànakwazwa na lugha aliyokuwa anatumia kuwaita wanaohama ccm kwenda upinzani. Anavuta pumzi namna ya kuieleza jamii maana si jambo dogo.
 
Wewe ndo umenena! Hawezi kukata tawi ambalo kwa sasa bado analikalia!
Aisema anaenda kuwatumikia watu wa mtama kama mbunge wa ccm! Hata kama ana mpango wa kukihama chama laklni haiweizi kuwa sasa hata kama ungekuwa wewe!
habari itakuwa nyingine kabisa baada ya bunge kuvunjwa 2020 kuelekea uchaguzi mkuu! Nape si mjinga! Haiwezekani akizire chakula alichokipika mwenyewe halafu awaachie kina Bashite wajichane!
Endelea kuota ndoto ,inawezekana nape akagombea urais kwa tiketi ya chadema 2020.
 
Labda nikuulize,yale matamshi aliyo yatoa pale protea hakuwa msaliti wa chama?
Kama aliongea kiusaliti,kwa nini abaki chamani,ilhali wenziwe walisaliti tangu 2015 wametimuliwa?

Huoni kuwa kuna kuogopana hapo? Yaani kuna ccm wengine ni bora kuliko wengine
Kusema vile sio kusaliti chama, alichoongea ndio ukweli
 
mwenye chama chake aliwai kusema ccm si baba wala mama yake yeye ni nani? hivi kwa nini unashindwa kutumia japo akili kidogo wewe kila kitu ni ndioooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mzee. hacha hizo
 
Back
Top Bottom