Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Kweli CCM wameishiwa hadi Nape awe Katibu mkuu? aisee bora Joti
Hawa ni watu wawili tofauti sio tu kielimu bali hata kimakuzi, kimalezi na uwezo wa kuongoza. Katibu Mkuu wa CCM ajaye ni Dr Asha-Rose Migiro. Wanasheria wengi ni makatibu wazuri sana.
Muhimu ni kwamba ni WATANZANIA wenzetu wa aina zote walioomba UONGOZI ndani ya CCM. Ni nini kiliwasukuma kufanya hivo hilo tuwaachie wao wenyewe. Idadi hiyo ni kubwa kwa chama chochote cha SIASA nchi hii. UHAI wa chama ni wanachama na vikao.Mkuu hao 5000 walioomba wamesukumwa na nia ya dhati ya kuongoza, tamaa ya madaraka, matumbo au kukomoana?
Maana haifai tu kutaja idadi ya waombaji. Ukijitendea haki kujijibu nia hasa ya waombaji utajua kama chama kinakufa au la
Gazeti la RAI toleo la leo limeripoti habari linazodai ni za uhakika na kutoka ndani ya chanzo cha uhakika kwamba Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Willson Mukama.
Pia Dr Asha-Rose Migiro inadaiwa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Mzee Pius Msekwa.
Nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi anatarajiwa kuwa William Ngeleja Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa waziri wa Nishati na Madini.
Ukweli wa taarifa hizi unaonekana ni wa uhakika kwa sababu Nape Nnauye na Asha Migiro hawajagombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM.
Uzuri mmoja wa huyu mama ana akili na mawazo yanayojitegemea. Haogopi. Hatishwi na sio mwekezaji kwenye SIASA. Hana makundi.Uanasheria wake utafua dafu kwenye mfumo na kundi litakalomwingiza madarakani?
Muhimu ni kwamba ni WATANZANIA wenzetu wa aina zote walioomba UONGOZI ndani ya CCM. Ni nini kiliwasukuma kufanya hivo hilo tuwaachie wao wenyewe. Idadi hiyo ni kubwa kwa chama chochote cha SIASA nchi hii. UHAI wa chama ni wanachama na vikao.
Nijuavyo mimi, kufuatia nguvu ya mgombea wangu ndani ya chama, huyu kijana anapigwa chini jumla!.
Uzuri mmoja wa huyu mama ana akili na mawazo yanayojitegemea. Haogopi. Hatishwi na sio mwekezaji kwenye SIASA. Hana makundi.
Uzuri mmoja wa huyu mama ana akili na mawazo yanayojitegemea. Haogopi. Hatishwi na sio mwekezaji kwenye SIASA. Hana makundi.
Waliojaza fomu kuomba UONGOZI ndani ya CCM kuanzia ngazi ya wilaya hadi NEC-TAIFA ni zaidi ya elfu tano. Hiki ni chama cha kufa leo au kesho kweli? Na hapo haujaweka idadi ya waliogombea kwenye ngazi za mashina, matawi na kata ambao ni wengi zaidi ya hawa wa ngazi kubwa.
Hiki chama kipo sana tu na namna moja ya kupambana nacho sio kufikiri au kuota tu kwamba kinakufa. Mtakuwa mnajidanganya kwa sana tu au hampo ndani ya TANZANIA. Kumbukeni pia kwamba CCM kiliundwa na mtu makini sana.
Mfumo wowote wa chama cha SIASA unatengenezwa/unarekebishwa na:Hakuna anayefuatilia siasa za nchi hii atakayesema CCM inakufa kwa kupungukiwa wanachama. Kifo cha CCM ni kifo cha kimfumo na ndio kifo kibaya kwa chama chochote cha siasa. Sisiem walitumia njia hii kuiua NCCR, na sasa ugonjwa huo walioupandikiza upinzani unawatafuna wenyewe
Hii uliisikia kwa Ban Ki Moon mwenyewe? Nilichokisikia mimi hata Ban mwenyewe alikuwa aondoke akabembelezwa na Marekani kwa kuwa hana madhara kwao.Angekuwa na akili asingeshindwa vibaya kutekeleza majukumu yake UN hadi Ban Ki Moon akaamua kum-fire!
Kwenye hawa 5000 wamo maDr wa shule na watiba; wa Digrii mbili lukuki; wa darasa la saba tu; watanzania wa nyanja zote; makabila yote; dini zote; rika zote; hata vichaa wamo pia.Kwenye nchi ya watu million karibu 40 kupata vichaa 5,000 kugombea chama mfu si tabu sana !
Hahaaaaah ! ni magoigoi wa fikra tu wanaweza kuyaona maisha ya ccm yakiwa marefu ! Chama kinachobembeleza wasomi kujiunga nacho , chama kinacghostuka kuona msomi anagombea , hakiwezi kuwa chama chenye Umri wa Kutosha , kinakaribia Kufa na kuzikwa.