Nape Nnauye atajwa kuandaliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

CCM kwa sasa hivi ni kama mgonjwa mahututi aliyegoma kunywa dawa. Na kwa safu hii, mimi nanunua mbao tatu!
 
Natamani Habari hiyo iwe kweli ! Eeeenh Mungu saidia NAPE apewe UKatibu wa chama kinachokufa ili tuizike ccm kabla ya 2015
 
kibwagizo Kweherini, kwaherini, kwaeherini, CDM na CCJ kwaherini, CUF na UDP kwaherini iiiiiiii, hapa nilipo nipo kitandani Unafiki umeniweka kitandani, kusimama tena mimi haiwezekani aahaaa ahaaaaaa.

----Saa saba mchana saa niikitazama, nimeshaachana na Makamba, namfwata Kingunge, Saa kumi na mbili jioni nina appointment Kinana, Acha Yule Mkapa tulishachana siku nyingi, bado yule Sumaye ananitafuta, nuilishamtumia kisha namfwata Dialo, Mkono na wengineeee aaaaahhh,

Hapa nilipo nipo kitandani, ufisadi umeniweka matatani kupona tena mimi haiwezekani.....ahaaa haaaaaahaaaa

haya hebu enedelea sasa.....................................

Mavocal ya kufa mtu haya. Master jay atusaidie kutupia hapo Bit za kueleweka. Tutauzaje mkuu!
 
Huyu mama mbona anapewa vipaumbele hivo.wakati watanzani hawatambui mchango wake katika taifa letu. NGOJA TUONE.
amka wewe
hujasikia magazeti ya leo nini?
tanzania yaweza kuja kuongozwa na rais mwanamke-chukua hatua,mwenye macho na masikio
 
Natamani Habari hiyo iwe kweli ! Eeeenh Mungu saidia NAPE apewe UKatibu wa chama kinachokufa ili tuizike ccm kabla ya 2015
Waliojaza fomu kuomba UONGOZI ndani ya CCM kuanzia ngazi ya wilaya hadi NEC-TAIFA ni zaidi ya elfu tano. Hiki ni chama cha kufa leo au kesho kweli? Na hapo haujaweka idadi ya waliogombea kwenye ngazi za mashina, matawi na kata ambao ni wengi zaidi ya hawa wa ngazi kubwa.

Hiki chama kipo sana tu na namna moja ya kupambana nacho sio kufikiri au kuota tu kwamba kinakufa. Mtakuwa mnajidanganya kwa sana tu au hampo ndani ya TANZANIA. Kumbukeni pia kwamba CCM kiliundwa na mtu makini sana.
 
Nimeamini kuishambulia CCM ni kuishambulia CUF.Tafakari na chukua hatua.
 
Nimeamini kuishambulia CCM ni kuishambulia CUF.Tafakari na chukua hatua.
Unanipeleka CUF. Huko nako sijui kama watan'taka! Mimi natoa maoni yangu huru tu humu. Naifahamu kidogo TANZANIA na WATANZANIA wa leo, jana na juzi.
 
Gazeti la RAI toleo la leo limeripoti habari linazodai ni za uhakika na kutoka ndani ya chanzo cha uhakika kwamba Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Willson Mukama.

Pia Dr Asha-Rose Migiro inadaiwa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Mzee Pius Msekwa.

Nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi anatarajiwa kuwa William Ngeleja Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa waziri wa Nishati na Madini.

Ukweli wa taarifa hizi unaonekana ni wa uhakika kwa sababu Nape Nnauye na Asha Migiro hawajagombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM.

Too illogical to make sense! Nnape ni tatizo akili kidogo mle ana maadui wengi ndani ya chama. Ngoma ya mahepe huwa haikeshi
 
Nape anabaki na nafasi yake hiihii, mama Migiro ndie atakuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke sio tu wa CCM bali wa kwanza mwanamke kwenye chama chochote cha SIASA Tanzania. Msekwa anabaki kwenye Umakamu hadi baada ya uchaguzi mkuu 2015.

Spika wa kwanza mwanamke - look what we got!
 
Spika wa kwanza mwanamke - look what we got!
Hawa ni watu wawili tofauti sio tu kielimu bali hata kimakuzi, kimalezi na uwezo wa kuongoza. Katibu Mkuu wa CCM ajaye ni Dr Asha-Rose Migiro. Wanasheria wengi ni makatibu wazuri sana.
 
Waliojaza fomu kuomba UONGOZI ndani ya CCM kuanzia ngazi ya wilaya hadi NEC-TAIFA ni zaidi ya elfu tano. Hiki ni chama cha kufa leo au kesho kweli? Na hapo haujaweka idadi ya waliogombea kwenye ngazi za mashina, matawi na kata ambao ni wengi zaidi ya hawa wa ngazi kubwa.

Hiki chama kipo sana tu na namna moja ya kupambana nacho sio kufikiri au kuota tu kwamba kinakufa. Mtakuwa mnajidanganya kwa sana tu au hampo ndani ya TANZANIA. Kumbukeni pia kwamba CCM kiliundwa na mtu makini sana.

Mkuu hao 5000 walioomba wamesukumwa na nia ya dhati ya kuongoza, tamaa ya madaraka, matumbo au kukomoana?
Maana haifai tu kutaja idadi ya waombaji. Ukijitendea haki kujijibu nia hasa ya waombaji utajua kama chama kinakufa au la
 
Back
Top Bottom