Nape Nnauye atajwa kuandaliwa kuwa Katibu Mkuu CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye atajwa kuandaliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Sep 27, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Gazeti la RAI toleo la leo limeripoti habari linazodai ni za uhakika na kutoka ndani ya chanzo cha uhakika kwamba Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Willson Mukama.

  Pia Dr Asha-Rose Migiro inadaiwa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Mzee Pius Msekwa.

  Nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi anatarajiwa kuwa William Ngeleja Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa waziri wa Nishati na Madini.

  Ukweli wa taarifa hizi unaonekana ni wa uhakika kwa sababu Nape Nnauye na Asha Migiro hawajagombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM.

  [​IMG]
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  chama kinaenda kufa muda si mrefu
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa mkuu Molemo itakuwaje Mwenyekiti Lowassa Gamba Katibu Mkuu Nnauye Jr? Au wawili hawa wameshapatana?
   
 4. Kibwagizo

  Kibwagizo Senior Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mama mbona anapewa vipaumbele hivo.wakati watanzani hawatambui mchango wake katika taifa letu. NGOJA TUONE.
   
 5. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  William Ngeleja ... from a minister to a 'rumour monger'
   
 6. C

  Concrete JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimepata hizo habari kutoka chanzo cha ndani sana CCM.

  Sababu kuu ni;

  1/ Chama kimechoka mbaya na huenda kikamfia Kikwete hivyo dawa ni kufanya mabadiliko kila mara ili kuvutavuta siku.

  2/ Mkama ni mzigo mkubwa sana ndani ya chama, hujui siasa kabisa.

  3/ Kujaribu kuweka sura mpya ndani ya chama ili kupima upepo wa mvuto hivyo Kilaza Asharose Migiro na Fisadi Ngeleja watalamba shavu.

  4/ Kupanga safu mpya ya ushindi ya CCM'' yaani kuhakikisha Membe anakuwa mgombea rasmi wa CCM wa urais 2015.
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Duh Ngeleja fisadi alllah maweeeee..Nape ndo atakiangamiza kabisa kwa domo lake.
   
 8. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,886
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Mipango ya Magamba utaipenda.

  Muhimu ni kuwatakia kila la kheri
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mkuu Molemo waache waendelee kuzikana lakini ndani ya Chama chao ni kama hakuna walio tishio kwa CHADEMA biafsi nilikuwa namna Filikunjombe ni kifaa imara jamaa ametulia Wao hawamuoni

  Ngoja nasi tuiimarishe safu yetu ili kuwamaliza kabisa
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo itakuwa timu ya kuimaliza CCM kabisa.
   
 11. i

  iseesa JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi naona hilo limekaa sawa. SIASA za Bongo ni kupiga domo na kusema UONGO. na hili Nape na Ngeleja wanaliweza sana
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  halafu ule babu mukama itakuwaje?halafu mbona alikuwa kimya muda mrefu kulikuwa na nini kinaendelea?
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  kibwagizo Kweherini, kwaherini, kwaeherini, CDM na CCJ kwaherini, CUF na UDP kwaherini iiiiiiii, hapa nilipo nipo kitandani Unafiki umeniweka kitandani, kusimama tena mimi haiwezekani aahaaa ahaaaaaa.

  ----Saa saba mchana saa niikitazama, nimeshaachana na Makamba, namfwata Kingunge, Saa kumi na mbili jioni nina appointment Kinana, Acha Yule Mkapa tulishachana siku nyingi, bado yule Sumaye ananitafuta, nuilishamtumia kisha namfwata Dialo, Mkono na wengineeee aaaaahhh,

  Hapa nilipo nipo kitandani, ufisadi umeniweka matatani kupona tena mimi haiwezekani.....ahaaa haaaaaahaaaa

  haya hebu enedelea sasa.....................................
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  Nijuavyo mimi, kufuatia nguvu ya mgombea wangu ndani ya chama, huyu kijana anapigwa chini jumla!.
   
 15. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,579
  Trophy Points: 280
  Hiki chama kinaelekea kaburini...
   
 16. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hapo ni kuongeza speed ya kukizika chama cha magwepande kabla ya 2015 nadhani itakua mid 2014.
   
 17. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  In politics, this is a promotion
   
 18. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  haaa haaaaa .... have a nice day
   
 19. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Na wanaomsapoti Nape wanadai huyo "mgombea wako" anapotezwa jumla

   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kama nakumbuka vizuri, fisadi mdogo "mzee wa megawati" ngeleja anagombea u nec kutoka wilaya ya sengerema.
   
Loading...