johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Hahahaaaa........!Watani watarukaruka kama ndama.
Ovaa
Yaani Nape huyuhuyu...kweli mnafiki hana aibu. Bila shaka tayari amesahau simu zake za usiku wa manane na ile safari yake ya Ikulu kujikomba kwa jiwe akisaka huruma kwa baba...
View attachment 1795750
Hakika ningekuwa Nape, ningefikiria mara mbili kabla ya kukurupuka na matamshi ya kinafiki yasiyo na uhalisia wowote...shame on you!
johnthebaptistMbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.
Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.
Kazi Iendelee!
siasa bila unafki haziendijohnthebaptist
Yaani huyu huyu Khery James aliyetoa hotuba ya chuki kubwa nyuma, kuwa watawapiga sindano ya sumu Chadema, ili wawamalize, ndiyo kweli huyo Nape, anasema kuwa Bavicha ndiyo waende kuiga siasa zao kwake??
Ama kweli siasa za unafiki hazitaisha huko CCM!
Nape ni reject, spent force in CCM. Analazimisha kuwemoMbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.
Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.
Kazi Iendelee!
Mkumbusheni Nape Mnafiki, kwamba Mwendawazimu/ Mwendazake alishaiua CHADEMA , kabla ya 2020 πππHivi Chadema bado ipo ?
Hakika Nape ni mnafiki, mwongo, kigeugeu, asiyeweza kuaminika kwa lolote.Kupitia Magufuli tumewajua wanasiasa vijana ambao ni TAKATAKA!!
Kupitia Magufuli tumewajua wanasiasa vijana ambao ni TAKATAKA!!
Ndio maana amejisalimisha kwa Kherry.......hahahaaaa!View attachment 1795815
Aliingia kwa miguu akapewa land cruiser imsindikize
Vyama vyote vina unafiki!Hivi ni kitu gani cha maana unaweza kujifunza toka CCM? Wizi wa kura? Kuteka watu? Kujeruhi watu? Kuua watu? Au huo uharamia wa kubambikia watu kesi?
CCM kimfumo, ni takataka maana maamuzi yanafanywa na mtu mmoja. Marehemu aliwachezesha kwata, wakabakia kusifia mambo yake ya hovyo, utadhani hayawani. Leo amekuja Samia, na kuonesha siasa za marehemu ulikuwa uhayawani, CCM wanakenua meno na kushangilia.
CCM ni chama cha kinafiki, kisichoeleweka kinasimamia nini!!!