figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Nini Mtazamo wako wewe MwanaJF? Kwamba Serikali itekeleze yaliyopo kwenye ilani tu au iangalia vipaumbele vya wananchi?Najiuliza tu kimyakimya hivi,
JK alijenga UDOM bila kuwa kwenye Ilani ya CCM. JPM kajenga Bwawa la Stiglers, Ufufuaji ATCL, Kuhamia Dodoma, Daraja Kigongo/Busisi nk bila Ilani ya 2015/20. Kulikuwa na kosa!Serikali kufanya jambo la masilahi kwa nchi inafungwa na Ilani!?
Maajabu!
Kwani chato waliahidiwa uwanja wa ndege bohari kuu ya madawa na chuo cha VETA?Nape atulie, hana hadhi wala sifa za kuhoji hoja za mwenyekiti wake.
Nape ameshajulikana ni mtu anaetawaliwa na njaa kuliko kitu chochote. Sasa anajaribu kujionyesha kwa samia ili angalau akumbukwe.
Makamu Mwenyekiti amesema Bagamoyo haikuahidiwa Bandari, iliahidiwa gati, shida iko wapi?
Kaka toa maoni kutokana na hoja ya nappe mbona tunapenda majungu sio poa. Nape katoa mawazo yake toa na wewe yakwako. Tabia ya usaka fursa ipo miaka mingi hata ingekuwa weweHawa vijana wasioweza kulitumikia taifa mpaka wawe mawaziri hawafai, wanajiona bora zaidi ya wengine, uongozi wa serikalini usitafutwe kwa kelele nyingi za mitandaoni, uadilifu wa mtu na uchapakazi wake ndio uwe vigezo.
Na makamu mwenyekiti anapata wapi nguvu ya kumpinga mwenyekiti? Nape yuko sawa sera ni elekezi tu huwezi kuwa na sera ya miaka 5 halafu usibadilike dunia inaenda kasi sana sasa utakaa vipi na mawazo kwa miaka 5 serikali inaendeshwa kila mwaka na inaweka budget kwa mwaka.Nape atulie, hana hadhi wala sifa za kuhoji hoja za mwenyekiti wake...
WAchawi, Huwa hawapigani marungu ...wanahawiana!!Na makamu mwenyekiti anapata wapi nguvu ya kumpinga mwenyekiti? Nape yuko sawa sera ni elekezi tu huwezi kuwa na sera ya miaka 5 halafu usibadilike dunia inaenda kasi sana sasa utakaa vipi na mawazo kwa miaka...
Tabia zake za hivi karibuni zinanifanya nisiione "hoja" yake.Kaka toa maoni kutokana na hoja ya nappe mbona tunapenda majungu sio poa. Nape katoa mawazo yake toa na wewe yakwako. Tabia ya usaka fursa ipo miaka mingi hata ingekuwa wewe
Mangula sumu aliyopewa bado inamsumbua.Salaam Wakuu,
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka na kusema kwamba kuna miladi mingi imetekelezwa ambago haikuwa kwenye ilani...
Unataka kusema nini? Kwani kuna mtu kasema msiparuane?Ccm huwa mfumo wake wa kujiimarisha ni kuparurana baada yapo huwa imara mpaka upite uchaguzi wala usishangae utaachwa wewe kama alivyowachwa lissu!
Kweli bado hujakua, kama kweli umekua usingeandika hivi! RabishNa makamu mwenyekiti anapata wapi nguvu ya kumpinga mwenyekiti? Nape yuko sawa sera ni elekezi tu huwezi kuwa na sera ya miaka 5 halafu usibadilike dunia inaenda kasi sana sasa utakaa vipi na mawazo ...
Mzee Mangula hawezi kuwa dira kwa miaka yote.Na makamu mwenyekiti anapata wapi nguvu ya kumpinga mwenyekiti? Nape yuko sawa sera ni elekezi tu huwezi kuwa na sera ya miaka 5 halafu usibadilike dunia inaenda kasi sana sasa utakaa...
😂😂Kweli ukiamua kumficha Nape unamficha vzr tu!... Yaan Nape saizi ndo anaonekana mjini, miaka mitano yuko vichochoroni daa😁😁Salaam Wakuu,
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka na kusema kwamba kuna miladi mingi imetekelezwa ambago haikuwa kwenye ilani...