Yaani unaamini kabisa aliyeondoa Bunge Live ni Nape?! Hivi nyie watu mnashindwa kabisa kuoanisha utawala wa Jiwe na Bunge Live?! Si ndo kipindi kile kile Jiwe pia altangaza kufuta shughuli za kisiasa?! Ukweli ni kwamba, Bunge Live ni Jiwe kwa 100%! Kilichomponza Nape ni kusimamia order ya Jiwe, na kwavile ni very outspoken, ikawa ni kana kwamba yeye ndie ametoa hiyo order! Btw, si karibu miaka 2 sasa tangu Nape aondoke uwaziri? Kama yeye alikuwa ndie aliondoa Bunge Live, mbona hadi leo hakuna?salama ya Nape ni kutubu kwa kitendo chake cha kutuondolea bunge live asipotubu hakuna mtu atamuona kama ni mwenzetu, atubu adharani kwamba aliwakosea watanzania kutuondolea kujua wabunge wetu wanatuwakilisha kwa yale tuliyowatuma na kujua kwamba wako bungeni kwa matumbo yao au kwa ajili ya kutetea wananchi