Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

salama ya Nape ni kutubu kwa kitendo chake cha kutuondolea bunge live asipotubu hakuna mtu atamuona kama ni mwenzetu, atubu adharani kwamba aliwakosea watanzania kutuondolea kujua wabunge wetu wanatuwakilisha kwa yale tuliyowatuma na kujua kwamba wako bungeni kwa matumbo yao au kwa ajili ya kutetea wananchi
Yaani unaamini kabisa aliyeondoa Bunge Live ni Nape?! Hivi nyie watu mnashindwa kabisa kuoanisha utawala wa Jiwe na Bunge Live?! Si ndo kipindi kile kile Jiwe pia altangaza kufuta shughuli za kisiasa?! Ukweli ni kwamba, Bunge Live ni Jiwe kwa 100%! Kilichomponza Nape ni kusimamia order ya Jiwe, na kwavile ni very outspoken, ikawa ni kana kwamba yeye ndie ametoa hiyo order! Btw, si karibu miaka 2 sasa tangu Nape aondoke uwaziri? Kama yeye alikuwa ndie aliondoa Bunge Live, mbona hadi leo hakuna?
 
Nape hawezi kubadilika kamwe kinachomsumbua kwa sasa ni njaa ya uteuzi anataka ajisafishe kwa wananchi na kwa watawala

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa angetaka ajisafishe kwa watawala si angekubali kufuta hiyo hoja?! Btw, hivi unadhani Nape hafahamu consequences zake kwamba, hata kurudi tena bungeni ni hadi Jiwe atake?! Kama angekuwa anatafuta hiyo huruma ya watawala, kwanini basi asiendelee kujikomba kama wengine ili awe na uhakika wa kuwakilisha chama hapo 2020?!
 
Jibu lako hali make sense.

Eti “Nape amejiuzulu baada ya kutofautiana na serikali kuhusu ripoti ya Kamati yake.”

Serikali inawezaje kutofautiana na ripoti ambayo bado haijafika bungeni?

Serikali imekataa mambo kibao ambayo yalikuwa kwenye ripoti ya Tume ya Sheria na Katiba i kuhusiana na sheria ya vyama - ripoti ilipofika bungeni.

Kwa nini hiki ki ripoti cha umiliki wa mashamba ya wawekezaji ndio serikali iogope kufika bungeni?
We jamaa mtu wa ajabu sana! Ni kipi hapo kinakushangaza?! Yaani unalinganisha utawala wa JK ambae alikuwa anajitahidi kuacha taasisi kuwa huru na utawala wa Jiwe ambao taasisi zilizotakiwa kuwa huru hazipo huru?!

Kwanini serikali iogope wakati kila mwenye kutumia ubongo anafahamu Jiwe ndie alfa na omega na alishatangaza hadharani kwamba yeye akifuta hati za mashamba hakuna wa kusema vinginevyo?! Sasa huoni hiyo kamati ilikuwa ni kutaka kusema vinginevyo na hivyo ili kuto-undermine kauli ya Jiwe, ilikuwa ni lazima hoja hiyo iondolewe?!
 
Juha mkubwa kabisa, huyo Nepi hukunbuki tu kauli zake, kama bao la mkono na nyingine za dharau juu ya upinzani, kipind hicho Jiwe hata kufikiriwa urais ilikua bado!
Hivi unaamini kabisa kwamba ni Nape ndie alikataa?! Kilichomponza Nape kwenye lile suala ni kuwa "speaker" ya serikali kuelezea issue husika! Lile suala ni Jiwe mwenyewe kwa 100%, na ndio maana ingawaje Nape kaondoka, lakini bado issue iko pale pale!
 
Sasa huoni hiyo kamati ilikuwa ni kutaka kusema vinginevyo na hivyo ili kuto-undermine kauli ya Jiwe, ilikuwa ni lazima hoja hiyo iondolewe?!

Nataka Nape aje aseme hapa kwamba nimejitoa kwa sababu hii na ile. Hakuna ilipoelezwa in detail.

Na mimi sipati habari na uchambuzi wa masuala ya nchi hii kutoka MWANANCHI au THE CITIZEN, hakuna mwandishi nchi hii anaeweza kuweka mkeka wa parliamentary procedures halafu akasema serikali imeingilia Kamati ya Nape kihivi na kivile. Hakuna!

Let me lay out the simplest of legislative procedures.

Ripoti ya Kamati ni pendekezo, sio azimio. Serikali inaweza - na kila siku inafanya - kuzichana chana ripoti za kamati ndani ya Bunge linapokaa kama kamati kupitia kipengele kimoja kimoja cha muswada.

Serikali imefanya hivyo last week, muswada wa sheria ya vyama. Ripoti za kamati zilikuja na mapendekezo ambayo serikali iliyakataa ndani ya bunge, mapendekezo mazito na makali kuliko masuala ya Nape ya kufuta mashamba.

Kwa nini leo Kamati ya Nape, ya masuala ya kufuta mashamba, of all the issues, ndio serikali iogope ripoti ya mapendekezo isitoke kwenye kamati?
 
Unajua kwanini wababa wengi wanaogopa kupima dna ya watoto wao?
Mtoto ni wa mama.
Eti akina baba wengi wanaogopa kupima DNA! Naona ulimezeshwa propaganda za akina Mzee Makamba!!! Naona unajifurahisha kwavile hutaki kukiri kwamba ulichemka! Ulichemka kwa sababu waliosema mtoto anachukua asili kwa baba hawakukurupuka tu! Mtoto ni mbegu! Mfuko wa mama ni kikuzia mbegu tu na ndio maana hata linapokuja suala la uzalishaji kwa njia ya chupa, kinachohifadhiwa ni mbegu kwa sababu ndiyo zinaleta mtoto! Hata kwa wafugaji, ukitaka ng'ombe bora unachonunua au kukodi ni dume la ng'ombe au kununua mbegu za dume!

Ni kutokana na hali hiyo ndiyo maana in most cases mtoto anachukua asili ya baba!
 
You're living in Utopia! Eti kuweka parliamentary procedures?! Hivi hata zile Ripoti za CAG huwa huzisomi?! Ni mara ngapi imeripotiwa serikali kufanya matumizi mbalmbali bila baraka za bunge?! Unapofanya matumizi ambayo ilikuwa yaidhinishwe kwanza na Bunge lakini yanafanyika bila bunge kufanya hivyo, ni nini hiyo kama sio kuingilia au ku-violate shughuli za bunge?!

Halafu pamoja na kujifanya hupati habari za nchi kupitia Mwananchi huku ukijaribu kuaminisha watu kwamba wewe ni sehemu ya habari wazi ni mweupe kweli kweli! Unaweza mathalani ukawa sehemu ya Bunge lakini ukakosa maarifa ya nini hasa kilipaswa kuwa kazi za bunge na kazi za bunge kwa wakati husika! Look-
Ripoti ya Kamati ni pendekezo, sio azimio. Serikali inaweza - na kila siku inafanya - kuzichana chana ripoti za kamati ndani ya Bunge linapokaa kama kamati kupitia kipengele kimoja kimoja cha muswada.
Yaani unachotaka kutuambia Kamati inapeleka hoja bungeni, Bunge linajadili hoja husika na inapita! Na kwa mfano huu ni kwamba,Kamati ya Maliasili na Utalii inapeleka hoja ya kuundwa tume bungeni! Bunge linajadili hoja husika na wanakubali kuunda tume! Tume ikishaundwa, serikali inachana chana maadhimio hayo ya bunge?! Au serikali serikali inapiga marufuku uamuzi wa bunge wa kuunda tume husika?! Ndicho unachojaribu kutuambia hapa?!

Anyway, labda ndo vile kisichowezekana kwa JK, kwa Jiwe kinawezekana lakini kwa hoja yako hiyo umeonesha wazi ni namna gani ambavyo ama hujaelewa kinachojadiliwa hapa ni nini hasa au ni mweupe kuhusu kile kilipaswa kuwa kazi za bunge!!
Serikali imefanya hivyo last week, muswada wa sheria ya vyama. Ripoti za kamati zilikuja na mapendekezo ambayo serikali iliyakataa ndani ya bunge, mapendekezo mazito na makali kuliko masuala ya Nape ya kufuta mashamba
Ona sasa! Kumbe ni kweli wala hujui kinachojadiliwa ni nini?! Hivi Kamati ya Maliasili ilikuwa inatoa mapendekezo serikalini au ilikuwa inapeleka hoja bungeni?!.Hebu soma kwa utulivu:-

Kwa nini leo Kamati ya Nape, ya masuala ya kufuta mashamba, of all the issues, ndio serikali iogope ripoti ya mapendekezo isitoke kwenye kamati?[/QUOTE]

“Nape alitaka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii, iliombe Bunge kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge ili kuchunguza utaratibu uliotumika wa kufuta mashamba ya watu,” ameeleza mjumbe mmoja wa kamati hiyo.
Sasa kwa ujuvi wako, hayo ni mapendekezo kwa serikali?! Ina maana Bunge linapotaka kuunda kamati teule ya kibunge inapaswa kupata baraka za serikali?

Kilichotokea ni kwamba, serikali haikutaka hiyo hoja ya Kamati ya Maliasili ijadiliwe bungeni kwa sababu, endapo bunge lingejadili na kukubaliana na maoni ya kamati kwamba iundwe kamati teule ya kibunge, basi hapo serikali isingeweza tena kuzuia labda ijidhihirishe wazi kwamba inaingilia muhimili wa bunge! Na kwavile isingeweza kuzuia, a smart move was to block the agenda from reaching the parliamentary desk! Na namna ya ku-block, ni kuiagiza kamati kuondoa kipengele kinachotaka kuundwa Kamati Teule na kufanya uchunguzi! Mwenyekiti wa Kamati AKAGOMA kuondoa hicho kipengele!!

Kama Mwenyekiti amegoma, what next? Ni serikali kupitia chama chake kumlazimisha ajiuzuru ili aje yule atakayetii amri ya serikali bila shuruti!!

Chukua darasa hilo!!!
 
Juha mkubwa kabisa, huyo Nepi hukunbuki tu kauli zake, kama bao la mkono na nyingine za dharau juu ya upinzani, kipind hicho Jiwe hata kufikiriwa urais ilikua bado!
We cho'ko kuna mahali nimekutusi au angalau kukuongelea kwa kejeli? Ulivyo mpumba'vu unashindwa hata kujua kauli za kisiasa! Hivi unaamini kabisa kwamba upinzani haukushinda kwa sababu Nape alisema watashinda hata kwa bao la mkono?! Senge kweli wewe!
 
Eti akina baba wengi wanaogopa kupima DNA! Naona ulimezeshwa propaganda za akina Mzee Makamba!!! Naona unajifurahisha kwavile hutaki kukiri kwamba ulichemka! Ulichemka kwa sababu waliosema mtoto anachukua asili kwa baba hawakukurupuka tu! Mtoto ni mbegu! Mfuko wa mama ni kikuzia mbegu tu na ndio maana hata linapokuja suala la uzalishaji kwa njia ya chupa, kinachohifadhiwa ni mbegu kwa sababu ndiyo zinaleta mtoto! Hata kwa wafugaji, ukitaka ng'ombe bora unachonunua au kukodi ni dume la ng'ombe au kununua mbegu za dume!

Ni kutokana na hali hiyo ndiyo maana in most cases mtoto anachukua asili ya baba!
But in serious cases mtoto ni wa mama!
Ukifikwa na magumu humuiti/humlilii baba, unamlilia MAMA.
Aliyepewa jukumu la KUZAA ili kuijaza dunia ni MWANAMKE!
Mwanaume alipewa adhabu ya kuwa mtafutaji (kwa jasho atakula)
Mtoto ni wa MAMA.
 
Mama ni mtunza mbegu tu na hatimae kumtoa mtoto!!
 
Matak0 kilaza mkubwa juha fokoso wewe dont qoute be again!!! Choko babako aliyesingiziwa mtoto na muuza kei mamako!!

We cho'ko kuna mahali nimekutusi au angalau kukuongelea kwa kejeli? Ulivyo mpumba'vu unashindwa hata kujua kauli za kisiasa! Hivi unaamini kabisa kwamba upinzani haukushinda kwa sababu Nape alisema watashinda hata kwa bao la mkono?! Senge kweli wewe!
 
Mhe Nape amejiuzulu uenyekiti wa kamati ya mali asili baada ya kuwekwa kitimoto na chama. Habari zinasema ni baada ya kukataa kuondoa taarifa ya uchukuaji wa mashamba ya wawekezaji kinyume na sheria.

--------------

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amejiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii. Kujiuzulu kwake, kunatokana kile kinachodaiwa ni “Kugoma kuondoa taarifa ya uchukuaji wa mashamba ya wawekezaji, kinyume na sheria.”

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii zinasema, Nape amejiuzulu baada ya kutofautiana na serikali kuhusu ripoti ya Kamati yake.

“Nape alitaka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii, iliombe Bunge kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge ili kuchunguza utaratibu uliotumika wa kufuta mashamba ya watu,” ameeleza mjumbe mmoja wa kamati hiyo.

Ameongeza, “Serikali haitaki kuundwa kwa Kamati hiyo. Hivyo imeamua kuitumia Kamati ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumlazimisha Nape kujiuzulu.”

Taarifa kutoka ndani ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii zinasema, tayari Nape amemuandikia barua rasmi ya Spika kumjulisha kujiuzulu kwake.

Nape alihuhutubia waandishi wa habari leo akiwa chini ya vyombo vya usalama na kutetea msimamo wake.

Kupatikana kwa taarifa hizi kumekuja siku moja kabla ya Kamati yake kuwasilisha ripoti yake na zinaeleza kuwa Kamati hiyo ilikuwa inaleta mapendekezo ya kuundwa kwa Kamati Teule, jambo ambalo lilihofiwa kuwaumbua baadhi ya wakubwa.

Machi mwaka 2017, Nape aling’olewa kwenye nafasi ya uwaziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo.

Mbunge huyo wa Mtama mkoani Lindi, alivuliwa wadhifa wake siku moja baada ya kupokea ripoti ya Kamati ya uchunguzi juu ya tukio uvamizi wa kituo cha televisheni cha Clouds kwa kutumia silaha uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Ripoti ya kamati aliyoiunda Nape kuchunguza tukio hilo, ilithibitisha kuwa Makonda alivamia kituo hicho majira ya saa 5 usiku wa Ijumaa ya tarehe 17 Machi 2017 na alifanya uvamizi huo akitumia askari wenye silaha. Nape aliahidi kulifikisha ripoti yake kwa mamlaka ya juu yake. Haijajulikana mpaka sasa, ripoti hiyo amekabidhiwa nani.

Nape ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Idara ya Uenezi ya CCM, amesema atapata nafasi nzuri ya kutumikia wananchi wa jimboni wake baada ya kuachia nafasi hii.
Unajitahidi na hongera kuwa vuvuzela wa chama cha siasa cha familia kisichokidhi vigezo vya chama cha siasa kwa tafsiri ya sheria mpya ya vyama vya siasa ambapo baadhi ya kigezo kikuu ni demokrasia ndani ya chama.

MNATIA AIBU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's assume kuna familia mbili, X and Y; X ni mke na mme na Y, ni mke na mume! Kati yao kuna mtoto anaegombewa na familia zote mbili huku kila moja ikidai ni mtoto wake! Busara inatumika kwamba mtoto apimwe DNA kugundua anatoa familia ipi hasa!

SWALI: DNA za mtoto zitalinganishwa na hao akina mama au akina baba?
Hisabati ni sanaa, si sayansi.
Unaobishaniwa hapo ni mchango!
Umiliki ni "given" MAMA.
MTOTO NI WA MAMA
 
73 Reactions
Reply
Back
Top Bottom