Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,901
- 166,061
Hukuiona alipoipost hiyo tarehe 10?
Ndio maana kama hinadamu hatupaswi kinyamaza mwingine anapotendewa ukatili /Udhalimnape bana, kweli ukiwa nje akili inakaa sawa! ule muda mfupi ulipokuwa waziri ulitubagaza na kutunyanyasa sana, nadhani umejifunza kitu katika maisha yako, ukifumba macho na kukaa kimya mtu mwingine anapotendewa udhalimu ipo siku nawewe yatakukuta kwakua umeulea huo mfumo dhalimu.
Hata hivi sasa akipewa tena uwaziri, atayafanya tena yaleyale aliyoyafanya kipindi kile akiwa waziri.nape bana, kweli ukiwa nje akili inakaa sawa! ule muda mfupi ulipokuwa waziri ulitubagaza na kutunyanyasa sana, nadhani umejifunza kitu katika maisha yako, ukifumba macho na kukaa kimya mtu mwingine anapotendewa udhalimu ipo siku nawewe yatakukuta kwakua umeulea huo mfumo dhalimu.