kwetu home ni kwa malegend!

kwetu home ni kwa malegend!

Red-me

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
453
Reaction score
968
Babu mkubwa bachela,wajomba watatu marehemu walikufa mabachela,mashangazi wawili marehemu walikufa bila watoto. na hapa mimi hapa bachela tayari na mimi ndoh mtoto tu kwetu.baba yangu ndoh mtoto tu kwao. mimi ndoh nategemewa kuoa ila siwezi oa nataka kizazi kiishie kwangu.bachela forever!
 
Jidanganye siku ukifa huna mtoto wakusukumizie kigunzi kwenye jicho
 
Back
Top Bottom