Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

huyu kijana hataki kutambua kwamba ccm hawamtaki ni bora angebaki na msimamo aliokuwa nao alipokuwa uv-magamba maana siku hizi jawa mropokaji baada ya kupewa idara ya propaganda.hata hivyo anaendelea kusaidia upinzanzi kupambana na mafisadi waliompa ajira.kama hatakisaliti ccm kweli basi ataanguka jwa aibu.
 
Nape amekuja na spidi mpaka anakosa direction.....spidi yote hii kumbe anaficha siri kubwa ili CCM wafumbwe macho kwa kasi zake...kweli kulinda maslahi ngumu; mtu unaweza hata kutumia any possible means
 
Sasa na wewe mie nakushangaaaaaaaa, sijui ulikuwa unakunywa viroba kabla ya comment hii??? Habari inaonesha source ni Mwananchi, wewe unasema ni Tanzania daima, Uhuru la Chadema. Bahati mbaya jina lako halioneshi jinsi(sex) uliyonayo maana wengine huwa wanachemka humu tukiwamind wana tu PM kuwa tuwachunie maana ni wajawazito. Sasa na wewe sema kama u mjamzito. Nape alikuwa kazidi inabidi arekebishwe otherwise atapotea vibayaaaaaaaaaaaaa............... CCM watu wa visasi we wape muda utaone. Sekretariet iliyoundwa juzi itavunjwa abaki Mukama tu.

Kama habari hiyo ingekuwa na source wakati nachangia ninge-guess vip?utendee haki ubongo wako!!
 
Kuna mambo yanasikitisha na mengine yanaonesha kweli bado tuna matatizo makubwa sana.

Nape ni mwanzilishi wa CCJ
Mpendazoe ni mwanzilishi wa CCJ
Chadema ni waanzilishi wa CCJ
CCM ni waanzilishi wa CCJ
Mimi ni mwanzilishi wa CCJ - Katiba yao nilipitia na Ilani yao niliifanyia masahihisho mimi.

CCJ ilianzishwa kwa lengo moja na ikajikuta inafanya lengo jingine kabisa na ni wachache sana wanaojua hilo lengo jingine hata wale 6 wa CCM hawajajua walichofanya kuisaidia Chadema ishinde!

Go figure! Tukishakubaliana nani ni mwanzilishi na nani si mwanzilishi - kitu ambacho hakiitaji kuchukua muda sana tutajikuta bado tuna ishu zile zile zinatutazama. Tunapoteza nafasi kubwa iliyowekwa mbele yetu na historia kuhusu mjadala wa sera na mwelekeo wa taifa letu.

- Saafi sana mtumzima, CCJ, CCM. Chadema bado hatuna umeme, bado bara bara zinatusubiri kwa ubovu, malumbano yasiyo na tija wka taifa ndio jadi yetu Tanzania, leo CCJ jana malori, kesho itahamia kwenye wake zao subiri uone! Kweli wajinga ndio wali wetu!

William @ NYC, USA.
 
Kweli Nape ametuangusha nilitegemea aokoe jahazi linalozama sasa anazamanalo nafikiri bado ana utoto na ulimbukeni DC mzima kuanza kusema maneno kama Chandimu kama si utoto ni kitu gani sikutegemea kabisa DC mzima aliyechaguliwa na rais aseme maneno kama hayo hata kama aliudhiwa kiasi gani.
 
mpatie scholarship mwenyekiti wenu mbowe ambaye ni kihiyo. nape amewakamata chadema pabaya.

Kijana mashavu yamenona, ukimtizama uso wake anaonekana sio bright kabisa, hata wewe unamzidi, kwanini mnappenda kutawaliwa na vihiyo??? hamia hamia kwenye watu wenye uwezo, pleaaase
 
Nguvu ya Uma atimaye imeamua kumtolea Uvivu bwana name kwy Face Book baada ya kkumtaka ajibu shutuma zinazo mkabili na aache porojo anazoziendeleza dhidi ya Chadema, kwa nyakati tofauti bila kujificha sura zao na majina walimshutu vikali nape kwa kupoteza ukweli na kumtaka ajibu mashambilizi na Aachane na porojo zake. ukitakata kuona yote tembelea site ya nape kwy face book.
 
attachment.php


CCM yale yaleeeee...
rushwa mtindo moja
eti yavua magamba
kaazi kweli kweli !

 
akifanikiwa kuwapelekea na wanafunzi vyuo vikuu ntamsifu sana maana hao anawaowagaia pima elimu zao
 
Kanga chukueni ila mjiulize kama ndio ahadi(Ilani) ya chama hicho katika miaka mitano hii
 
attachment.php



kaazi kweli kweli !​

Hii ndiyo CCM. Rushwa inanukia kila mahali. Maskini hawa watu hawajui hizo kanga ni hela zao za Kodi zilizoibiwa na CCM ! Sasa huyu ametumwa kuhamasisha wananchi au kugawa takrima ??? Ni aibu Kubwa.

///////////
.
Wakati Nape akigawa Rushwa, Raisi wetu wa Moyoni Dr. Slaa yeye anafanya haya kule Njombe kwa Ana Makinda kwa ajili ya kuwakomboa watanzania kwenye makucha ya CCM iliyotuingiza kwenye ufisadi, Rushwa na Umaskini
 
Aibu sana,inasikitisha!watu masikini wanakunywa maji machafu unawapa kanga!jamani huyu mungu...
 
amewashika pabaya chadema mnaanza kutumia zomea zomea yenu kumnyamazisha.

huwezi nyamazisha ukweli.
 
Ndo kilichobakia kuwavutia watu kwa takrima kwanivinginevyo hawaji kwenye magamba!
 
Back
Top Bottom